Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni ya kuandamana
Huo ni msimamo wako sio wa wote ila kwa kunusuru afya na uhai wako uko sawa.
Ngoja nikupe story kidogo
Kwa asili sisi Tanzania sio watu wa vurugu ni wapole sana au inshort ni waoga sana hata viongozi wetu wanajua hili.Kuwa muoga sio dhambi ni asili na tabia ya mtu.
Je ni kwanini Tanzania tuko hivyo
Nature ya jinsi tulivyo dai uhuru wetu hatukumwaga damu kitaifa achilia mbali vita vya babu zetu vya mishale.
Ukilinganisha Kenya na Tanzania unakosea sana historia ya Kenya Uhuru waliupata kwa kumwaga damu mno na MAU MAU walikuwa wanachinja hadi wazungu.Hii hali imewakaa wananchi wake kuwa na roho ngumu hivyo inaridhiwa kizazi na kizazi.Hii pia ni kwa Africa Kusini.
Ona raia wa Uganda na Zambia na wenyewe ni watulivu kidogo kutokana na nature walivyo dai uhuru.
 
Kwani sababu kubwa iliowafanya Lamadi kuandamana ni upotevu wa watoto hawajatumwa na viongozi wowote

Ila ni upotevu wa watoto pasipo ya majibu ya wale wenye dhamana ya kulinda raia na Mali zao, sidhan km una mtoto na km utakuw nae huenda analelew na mwanaume mwingine hujui uchungu wa mtoto kijana

It doesn't make sense kuwa na vijana wa hovyo km ww sijui tatizo ni kurithishwa Imani kutok Kwa wazaz wako kuandamana sio dhambi ila ipo siku utaandamana bila shuruti baada ya kuguswa 😃
Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni ya kuandamana
 
Ona hii mbuziii
20240526_155227.jpg
 
Huo ni msimamo wako sio wa wote ila kwa kunusuru afya na uhai wako uko sawa.
Ngoja nikupe story kidogo
Kwa asili sisi Tanzania sio watu wa vurugu ni wapole sana au inshort ni waoga sana hata viongozi wetu wanajua hili.Kuwa muoga sio dhambi ni asili na tabia ya mtu.
Je ni kwanini Tanzania tuko hivyo
Nature ya jinsi tulivyo dai uhuru wetu hatukumwaga damu kitaifa achilia mbali vita vya babu zetu vya mishale.
Ukilinganisha Kenya na Tanzania unakosea sana historia ya Kenya Uhuru waliupata kwa kumwaga damu mno na MAU MAU walikuwa wanachinja hadi wazungu.Hii hali imewakaa wananchi wake kuwa na roho ngumu hivyo inaridhiwa kizazi na kizazi.Hii pia ni kwa Africa Kusini.
Ona raia wa Uganda na Zambia na wenyewe ni watulivu kidogo kutokana na nature walivyo dai uhuru.
Wapi nimelinganisha tanzania na Kenya mzee umepagawa nini hamna sehemu nimeitaja Kenya naona wewe unaitaja Kenya kwamba Mimi nimelinganisha Mimi naongelea tanzania wewe unaleta mambo ya Kenya upo timamu kweli kichwani
 
Kabla ujafanya ivyo angalia wangapi wanakutegemea
Kuwa na wanaonitegemea sio justification ya kutokuandamana na wenyewe nitawashauri waandamane japo hata wakikataa lazima niandamane kwa ajili yao na future ya nchi yangu. Siwezi kuishi kwenye nchi yangu kama utumwani tena karne hii ya 21.

Nchi imekuwa ya ajabu polisi hawasimamii kabisa maadili yao ya kazi wamekuwa wahuni wanakamata kamata watu, wanaonea mbaya zaidi wakijisikia wanaua kabisa, huu ni uonevu wa ajabu sana, viongozi wamekuwa sio msaada tena kwa wananchi wamekosa huruma na matatizo ya Watanzania na bora hata wangekuwa wanakaa kimya ila bado wanaongea maneno ya shombo. Mtu unamwambia vitu vya msingi na ni kiongozi mwenye dhamana anakujibu kama haishi Tanzania
 
Wewe muoga tu huna lolote nyumbu kabisa unaandamana jamii forum sio🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni ya kuandamana
mimi mwenyewe nina msimamo kama wa kwako. Lakini I caution you, serikali dhalimu haimalizi na hao waliopigwa risasi, wakimaliza na hao, watakuja kwa waliobaki. cha msingi hapa ni kutafuta visa tu
 
mimi mwenyewe nina msimamo kama wa kwako. Lakini I caution you serikali dhalimu haimalizi na hao waliopigwa risasi, wakimaliza na hao, watakuja kwa waliobaki. cha msingi hapa ni kutafuta visa tu
Hii nchi Jana ndio nimegundua ni wananchi waoga sana manyumbu mwenzao KAPIGWA risasi yenyewe yanakimbia yanarudi ameshakufa🤣🤣🤣🤣
 
ukiona hivyo, bado maisha ya Tanzania ni matamu.. ila itafika kipindi itakuwa bora ufe kuliko ubaki hai ule masalia waliokuachia viongozi.
 
Kuwa na wanaonitegemea sio justification ya kutokuandamana na wenyewe nitawashauri waandamane japo hata wakikataa lazima niandamane kwa ajili yao na future ya nchi yangu. Siwezi kuishi kwenye nchi yangu kama utumwani tena karne hii ya 21.

Nchi imekuwa ya ajabu polisi hawasimamii kabisa maadili yao ya kazi wamekuwa wahuni wanakamata kamata watu, wanaonea mbaya zaidi wakijisikia wanaua kabisa, huu ni uonevu wa ajabu sana, viongozi wamekuwa sio msaada tena kwa wananchi wamekosa huruma na matatizo ya Watanzania na bora hata wangekuwa wanakaa kimya ila bado wanaongea maneno ya shombo. Mtu unamwambia vitu vya msingi na ni kiongozi mwenye dhamana anakujibu kama haishi Tanzania
Wewe hapo unatimiza majukumu yako ipasavyo ya kazi yako?
 
Watoto wako watahitaji kuishi katika Tanzania salama.

Kuna watu wamepoteza watoto wao na hakuna majibu ya maana wanayopewa.

Unahisi watoto sio sehemu ya familia unazotusii tuziangalie?
Nao pia ni moja ila effect ni kubwa
 
Back
Top Bottom