Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Kwa ujumla nidhamu ya maderefa wa serikali imepungua siyo kwenye misafara ya viongozi tu, bali hata katika uendeshaji wa kawaida.
 
Kwa ujumla nidhamu ya maderefa wa serikali imepungua siyo kwenye misafara ya viongozi tu, bali hata katika uendeshaji wa kawaida.
 
Huu utaratibu wa magari yaliyoko kwenye msafara wa viongozi kuendeshwa kama yanaendeshwa na vichaa ufikia mahali ufe.

Hakuna wanapowahi zaidi ya kaburini tu halafu utasikia "ni mpango wa Mungu".

Stupid fools.
Ni kweli kabisa, magari ya serikali na hasa kwenye misafra yanaendeshwa utafikiri hakuna sheria za barabarani.
Barabara ina mashimo ya kukwepa, na hata magari yanayokuja usoni nayo yanakwepa mashimo, sasa wewe unaenda 120km/hr!

Wafanyakazi serikalini mtaendelea kufa bila sababu.
 
Kwa ujumla nidhamu ya maderefa wa serikali imepungua siyo kwenye misafara ya viongozi tu, bali hata katika uendeshaji wa kawaida.
Kwa ujumla roho ya mauti iko ya hali ya juu sana Tanzania! Juzi moshi dada kamuua mama yake,jana mama kafungia watoto 2 kwenye gari wakafa, leo baba kamfuma binti yake anafanya mapenzi kitandani kwake na mvulana baba kamuua, wiki iliyoisha mfanyakazi wa TRA kauliwa na mme wake mauti mauti kila pahala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…