Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini ,ndio zina nafasi kubwa ya kusonga mbele na hapa naona Simba teyari wamejiweka katika mazingira magumu baada ya kupata sare leo hii dhidi ya hii timu.
1645387354172.png
 
Mbona mnamshanbulia yeye kama yeye badala ya hoja/maoni yake??
Hoja yake haina analytical and supportive evidence, atuambie rekodi za USGN akiwa kwake kimataifa zikoje?

Akithibitisha kuwa ni zq ovyo then yuko right but kama hana uwezo wa kuthibitisha bas hapo hatuna hoja ya kumjibu badala yake tunamshambulia kwa utopolo wake
 
Simba akiwa na gemu za Kimataifa Yanga huwa anafungwa mechi zake za Ligi simply because kuanzia mashabiki hadi Viongozi wanakuwa wanahangaika na Simba kuliko timu yao. Subirin Matokeo ya Turiani ndio mtajua hamjui
 
Uko sahihi kiasi chake, nalihofia hilo jambo, nilitamani simba ashinde pale, sidhani kama kila timu itapata matokeo pale kwa nature ya uwanja wao labda asec mimosas ndio watatoboa ila berkane pale akishinda ni sare.

Simba akaze tu ugenini na kuokota point 3 nyumbani, game ijayo akipata sare pale kwa berkane, halafu akaja mfunga berkane hapa kwa mkapa, kisha akamtungua huyu usgn haoa kwa mkapa shughuli inakuwa ishaisha hiyo.
 
Gendarmerie wamefungwa mechi gani nyumbani katika siku za hivi karibuni?
Kwa nini una assume watafungwa na ASEC & RSB? Kumbuka waliweza kupata magoli matatu nyumbani kwa RSB.
Achana na mashabiki wa Mpira Walokole' anawaza Kiimani zaidi....Gendermerie ,sioVbibonde kama ni vibonde Simba nao ni Vibonde.
 
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania...
Kama uliangalia mechi kati ya Berkane na hawa Wa niger huwezi kusema Wana niger ni vibonde.Kwa kigezo Cha Wa niger ku draw dhidi ya Simba.

Hesabu zako bado hazijakamilika.
 
Dah! Makolokocho fc leo wameponea kwenye tundu la sindano! Walikuwa wanatoka vichwa chini.

Kama uliangalia mechi kati ya Berkane na hawa Wa niger huwezi kusema Wana niger ni vibonde.Kwa kigezo Cha Wa niger ku draw dhidi ya Simba.


Hesabu zako bado hazijakamilika.
Muda utathibitisha.
 
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania...
Umeongea kwa jicho la kiufundi sana, asiyekuelewa ni punguani pekee, nilishasema timu tishio niliyokwisha kuiona kwenye hili kundi ni Asec mimosas na berkane, licha ya asec kifungwa na simba hapa nyumbani lakini kiufundi walikuwa vizuri sana kuanzia kwenye kujenga mashambulizi yao, umiliki wa mpira, physical yao walikuwa perfect sana,

kufungwa kwao ni mambo ya nje ya uwanja zaidi tunajua mambo yanayofanyika pale kwa mkapa ili simba washinde wala akuna siri juu ya ilo kipimo tutakiona wakienda ivory coast kurudiana maana awatofanya wanachokifanyaga nyumbani, Na hawa gendamarie akuna ubishi ndo kibonde wa kundi ukiwaangalia vizuri kiufundi wana mapungufu mengi Sana kuanzia kwenye safu yao ya ulinzi,

kiungo mpaka ushambuliaji, hivyo ili ujiakikishie kutoboa unatakiwa umfunge uyu kibonde nyumbani kwake alafu umsubilie kwako uzoe point nyingine, hii michuano ni kwenda na hesabu, nimemsikia kocha wa simba anafurahia kupata droo ugenini lakini anasahau amepata droo kwa timu ya aina gani? Suala sio kupata droo tu. i

shu ni umepata droo na timu yenye kiwango gani maana wengine wataenda pale na wataipiga na wewe auna uwezo wakwenda kumfunga Asec au berkane nyumbani kwao kwa simba hii tusidanganyane hapa, akuna timu itakubali kufungwa nyumbani kwao zaidi ya hawa vibonde gendamarie,

saa nyingine ukweli mchungu lakini ndo uhalisia timu itayochukua point 3 nyumbani kwa gendamarie itakuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kusonga mbele kimahesabu!
 
Umeongea kwa jicho la kiufundi sana, asiyekuelewa ni punguani pekee, nilishasema timu tishio niliyokwisha kuiona kwenye hili kundi ni Asec mimosas na berkane, licha ya asec kifungwa na simba hapa nyumbani lakini kiufundi walikuwa vizuri sana kuanzia kwenye kujenga mashambulizi yao...
Roho inakuuma sana mkuu, na zimewafanya muone wa kama Simba Sc hawezi kupita kwenye hili kundi.

Hiyo Berkane nae kibonde tu na hawezi kwenda kushinda pale Niger.
 
Endeleeni kuchukulia poa kipo kitakachowapata
 
Back
Top Bottom