Simon Patrick: Yanga itaenda mahakamani kuweka zuio la kukabidhi timu kwa wazee walioishtaki

Nipo hapa mwanzo mwisho mpaka nielewe kinacho endelea.

Ila hawa wazee mbona wanataka tugawane mbao za jahazi na safari haijafika?
Ikigundulika wanatumika na wauni flani, nashauri serkali ituachie wenyewe tujue tunawafanya nini hawa wazee!
Hawa Mzee Mpili tu anawatosha, Mzee Mpili ana watu tena anasema ana watu wachafu kwelikweli.
 
Tupo na wazee wetu. tutawachangia haiwezekani timu imetekwa na timu ikishinda chawa hawaimbi kuipongeza timu bali wanaipongeza kampuni ya mtu tena yenye nembo nyekundu
 
Bundi ameshatua jangwani...
 
Sasa tunaomba mupishe ofisi kwanza halafu hayo mengine yafuate
 
Namba 7 wapeleke hiyo document Police kitengo cha fraud Police watazaa naye.

Hao ni watu wa kufutwa uanachama kabisa.
 
Mzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
Hatumiki na simba.
Unamjua mwaipopo?? Ndie engineer wa huo mgogoro.
 
Mzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
Simba tena ?...
 
Tatizo lenu kubwa ni kwamba hamna mwanasheria, ndiyo maana kila siku mnashindwa kesi.

Haiwezekani taasisi kubwa kuwa na kesi inaendelea Kisutu hadi inaisha mnakuja kulalamika eti hamkushirikishwa.

Hauwezi kusema utaenda kufungua kesi nyingine ya jinai dhidi ya waliokushitaki wewe kwa kisingizio cha walifoji saini, kwanza hao wazee walihitaji saini za wajumbe wa bodi za nini? Inaonyesha Yanga ilituma watu waiwakilishe mahakamani, hao ndiyo walifoji saini za wajumbe, leo wanawakana kuwa hawakuwa watu sahihi. Kosa linakuwaje la anayeshitaki?

Yanga hamna mwanasheria.
 
Namba 7 wapeleke hiyo document Police kitengo cha fraud Police watazaa naye.

Hao ni watu wa kufutwa uanachama kabisa.
Sio mwanachama hai. Ana miaka 4 hata hajui ada ya uanachama anailipa wapi.
Ila huyo mzee sio chanzo cha tatizo. Kuna mtu anaitwa mwaipopo, ndie anacheza na sheria kwa kuwatoa kafara wenzake wasiokuwa na uelewa wowote.
Huyu mwaipopo hajaanza leo, hata hiyo kesi walioshitakiwa ni trustee wa kipindi cha msola sio hii mpya.
 
GSM anakwambia utopolo wamepata hasara Cha ajabu kuachia timu hawataki
 
Hicho kichwa chako ni mzigo kwa shingo tu.

Huwezi kwenda mahakamani bila kuletewa summons kwa dispatch book.
 
huyu mwana sheria ajawi shinda kesi hata moja .

Sijui ana mkataba gani na yanga

lawyer ni failure
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…