Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Mzee Mpili tu anawatosha, Mzee Mpili ana watu tena anasema ana watu wachafu kwelikweli.Nipo hapa mwanzo mwisho mpaka nielewe kinacho endelea.
Ila hawa wazee mbona wanataka tugawane mbao za jahazi na safari haijafika?
Ikigundulika wanatumika na wauni flani, nashauri serkali ituachie wenyewe tujue tunawafanya nini hawa wazee!
Timu inaondoka kesho saa saba mchanaTar 20 Yanga na Augsburg ya Ujerumani
Samahani Ostadh!Hayo mambo ya madrassa yametokea wapi tena?
Au ndio nyinyi watoto bomba mbili Songea?
Amesema anawafunga kwa kuwaviringisha kwenye shuka jeupe kama pipi 🤣Hawa Mzee Mpili tu anawatosha, Mzee Mpili ana watu tena anasema ana watu wachafu kwelikweli.
Yanga inafanya mkutano na waandishi wa Habari muda huu, fuatilia hapa kitakachojiri
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amekiri uwepo wa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la wadhamini wa Yanga SC ambapo ilisikilizwa upande mmoja na kupelekea kutolewa hukumu ya Julai August 2, 2023.
Aidha, mwezi wa 6 mwaka huu, Yanga SC ilipata taarifa ya ombi la Mahakama kutaka uongozi wote utoke madarakani, ambapo Eng. Hersi aliekekeza idara ya sheria kufuatilia suala hili na kugundua kuwa kesi hii iliendeshwa upande mmoja, pia waligundua kughushiwa kwa saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini. Pia, waligundua uwepo wa kundi la watu nyuma ya wazee hao linalotumika kuvuruga amani ya Yanga hivyo kwa kutumia vyombo vya dola wanashughulikia suala hili.
Kwa hatua ya sasa, Yanga imepekela maombi ya kuomba kuongezewa muda wa mapitio ya hukumu na kesi hiyo sababu hawakushirikishwa tangu awali, kwakuwa watu walioshiriki awali hawakuwa na uhalali kisheria (hawakuwa watu sahihi pia walifoji saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini)
Pia, itapeleka ombi la kuzuia utekelezaji wa hukumu hiyo ili uongozi usiondolewe pamoja na kuzuia wazee wasikabidhiwe timu kwa sasa.
Wakili Simon amesema Yanga itafungua kesi ya Jinai kwa wahusika wote waliopeleka kesi hii mahakamani kwani walighushi saini za wajumbe wa bodi ya Baraza la wadhamini wa Yanga.
Pia soma:
1. Hii hapa Hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu ya Yanga. Yumo Mwigulu, Mwambe na Tarimba
2. Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

Namba 7 wapeleke hiyo document Police kitengo cha fraud Police watazaa naye.Kwa nilichokisikia:
1) Abeid katumika kugushi saini za viongozi wa Yanga
2) Abeid ndio kajifanga ni mwakilishi wa uongozi wa Yanga
3) kuhusu mkataba kutosajiliwa RITA, uongozi umedai kuwa mkataba wao hausiki na RITA bali ni Baraza la michezo na walifanya hivyo.
4) Wanaopingwa ni uwepo wa baraza la wadhamini, na Hersi hayupo kwenye baraza hivyo ataendelea kuwa raisi wa timu.
5) Viongozi hawakuitwa kusikilizwa kwenye hiyo kesi bali Abeid ndiye aliyesimama kama mwakilishi wa uongozi.
6) Ni jukumu la wanachama kuitisha mkutano mkuu ili wao ndio waamue kama timu wakabidhiwe hao wazee wawili
7) kuna kesi itafunguliwa dhidi ya aliyegushi saini za viongozi wa yanga.
Hatumiki na simba.Mzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
Simba tena ?...Mzee Juma hata hela tu ya kula hana, akipewa timu ya Yanga ataweza endesha? Ngoja sasa akifunguliwa kesi na Yanga, huyu mzee atafungwa na itakuwa funzo, sbb kuna kila dalili anatumika na Simba
Sio mwanachama hai. Ana miaka 4 hata hajui ada ya uanachama anailipa wapi.Namba 7 wapeleke hiyo document Police kitengo cha fraud Police watazaa naye.
Hao ni watu wa kufutwa uanachama kabisa.
Hicho kichwa chako ni mzigo kwa shingo tu.Tatizo lenu kubwa ni kwamba hamna mwanasheria, ndiyo maana kila siku mnashindwa kesi.
Haiwezekani taasisi kubwa kuwa na kesi inaendelea Kisutu hadi inaisha mnakuja kulalamika eti hamkushirikishwa.
Hauwezi kusema utaenda kufungua kesi nyingine ya jinai dhidi ya waliokushitaki wewe kwa kisingizio cha walifoji saini, kwanza hao wazee walihitaji saini za wajumbe wa bodi za nini? Inaonyesha Yanga ilituma watu waiwakilishe mahakamani, hao ndiyo walifoji saini za wajumbe, leo wanawakana kuwa hawakuwa watu sahihi. Kosa linakuwaje la anayeshitaki?
Yanga hamna mwanasheria.
LGSM anakwambia utopolo wamepata hasara Cha ajabu kuachia timu hawataki
Tangu lini GSM akaongea na media au Instagram?GSM anakwambia utopolo wamepata hasara Cha ajabu kuachia timu hawataki