Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

Hivi umri wa Sirro na Wambura nani mkubwa?
 
Sakata la mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo Askari polisi walimpora na kumuua mfanyabiashara wa madini na kisha kumuua askari mwenzao aliyetoa siri za mauaji, kisha Sirro akatumika kufunika issue nzima kuwalinda askari wake (kuficha aibu ya jeshi la polisi) ndio chambo iliyotumika kumng'oa Sirro, lakini kiuhalisia Sirro alikuwa hatakiwi na Samia tangu Samia anaapishwa kuwa raus. Kwanini? Sirro aliwekwa na Magufuli kwa "kazi maalum", baada ya kifo cha Magufuli ilipaswa ang'olewe pale haraka sana maana angekuwa ni 'security threat' ya utawala wa mama.
 
Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima.

Ametibua nini? Mpaka akag'olewa ?View attachment 2297927
Nje ya mada mleta mada. Naomba kuuliza huyu Camilius Wambura ana undugu na Benard Membe kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu? Kwasababu majina Yao yanafanana. Pia Membe Jina lake la kati ni Camilius.
 
Hizi comment za wapambe wake katika uzi wangu ndio zimemponza. Japo nilijaribu kuwaeleza wapambe wale lkn hawakunielewa kabisa. Lkn leo sijawaona tena online. Mama kaamua kuonesha ukubwa wa cheo chake na umri wake 😂😂😂 someni comment zao na zangu nikiwaonesha ukubwa wa raisi kupitia katiba yetu. Kumbuka mama ashawahi kusema kuwa huwa anapita pita humu mara moja moja kuchungulia yanayojiri 😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20220720-192503.jpg
    Screenshot_20220720-192503.jpg
    46.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220720-192741.jpg
    Screenshot_20220720-192741.jpg
    49.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220720-192800.jpg
    Screenshot_20220720-192800.jpg
    49 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220720-192836.jpg
    Screenshot_20220720-192836.jpg
    67.4 KB · Views: 21
Back
Top Bottom