Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

Sakata la mauaji yaliyotokea Mtwara ambapo Askari polisi walimpora na kumuua mfanyabiashara wa madini na kisha kumuua askari mwenzao aliyetoa siri za mauaji, kisha Sirro akatumika kufunika issue nzima kuwalinda askari wake (kuficha aibu ya jeshi la polisi) ndio chambo iliyotumika kumng'oa Sirro, lakini kiuhalisia Sirro alikuwa hatakiwi na Samia tangu Samia anaapishwa kuwa raus. Kwanini? Sirro aliwekwa na Magufuli kwa "kazi maalum", baada ya kifo cha Magufuli ilipaswa ang'olewe pale haraka sana maana angekuwa ni 'security threat' ya utawala wa mama.
Kwanini mnapenda kumvictimise JPM? Walioko madarakani wote walikuwa pamoja naye! Sioni jipya hapo.
 
Huyu na yule aliyekuwa mungu mdogo wa mjengoni tabia zao zilikuwa sawa,kila wakipata nafasi walikuwa wakimjibu Mother house wanavyotaka hawakujua Mhimili uliojichimbia mizizi mirefu unaweza kufanya yake wakati wowote muda wowote.

Kifupi Mother house alilalamikia utendaji mbovu wa jeshi la Police badala ya Mkuu wake kuangalia wapi pa kurekebisha akarusha vijembe kwamba unaweza kumchikia yeye kama yeye lakini usilichukie jeshi la police.

Mother house 'nikisema najibiwa' nyenyenyenye something like that nikajisemea huyu Mwamba nafasi ya UBALOZI inanukia.
Ila amefanya kazi nzuri sana kibiti.
 
Nje ya mada mleta mada. Naomba kuuliza huyu Camilius Wambura ana undugu na Benard Membe kachero mbobezi na mwanadiplomasia mzoefu? Kwasababu majina Yao yanafanana. Pia Membe Jina lake la kati ni Camilius.
Hana uhusiono na Membe,Wambura mkikuyu🙂
 
Harry Maguire mzee wa maboko nadhani kwenda ubalozini ni upendeleo kwake.
 
With my advanced age and all my head is gray you call me stupid? You know I can utter a single word and be a curse to you?

MODs please I demand an apology!
Once stupid always stupid being aged doesn't change a thing🤣🤣🤣🤣
 
Inakuwaje mkuu? Bado unakula kiyoyoz tu kwenye kiti cha kuzunguka mbele yako kwa juu kidogo kuna picha ya mama?

Ama hupo mafia unavua ngadu?
Aisee kumbe nn ww😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom