Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Wapi niliposema kuwa nina uhakika kuwa binti kaingiliwa?
Nawanda namlaumu kwa haya:-
-Kuwa na ukaribu uliozidi na huyo
binti mdogo.
- kwenda night club na kujiachia.
Narudia tena, kuna mambo ambayo hutakiwi kufanya ukiwa na wadhifa flani na ukiwa na umri flani.
 
Siku hizi kuna masheria ya kimataifa ya PSHEA mwanangu hayaangalii cha surbodinate. Huyo binti yatamchukulia kuwa ni vulnerable kwa kulinganisha na cheo cha mkuu wa mkoa. Kwa hiyo RC ametumia nguvu ya madaraka yake kujulia tigo, kazi anayo!
 
Wapi uthibitisho wa kile unachosema?Ni kweli kesi inaweza kuwa imetengenezwa lakini tunataka tuone uthibitisho haswa.
Ukiwa kiongozi unatakiwa ujue upo kifungoni hata ukiona bebe kali imekuja ofsini piga kimya mzee!Kucontact tu tayar wabaya wanachukua points zao wanaanza kutafuta the way out wakudropishe😂.Halaf unapokuwa mkuu wa mkoa unaweza hata kwenda Dubai,Bahamas,Mauritius ukala mbwenyenye za huko tena hakuna wa kufichua hayo unamaliza unageuza Bongo.Sasa mnajisahau mno mnataka mPLAY fair ndani humu😂😂😂😂
 
Hakuna jambo baya kama kubambikiwa issue kama hizi. Bahati mbaya, ukishatangazwa hadharani, watu hawawezi kukuamini. Maelezo ya polisi kanaonesha kalikuwa kanatumiwa miamala na huyo mkuu, sijui kama nani.
 
Unamuona Mkuu wa Mkoa kama bonge la mtu. Unaona hata gari la Mkuu ni gari gani? Waziri tu anayetaka kuishi hivyo, lazima awe mpigaji.
 
Hapo unajaribu kutetea nini mwanasheria P.
1. Mtoto kumaliza form four akiwa na miaka 16 si kitu cha ajabu kabisa hapa nchini, wapo wengi sana sana
2 -5. Kumuweka binti wa miaka 16 kinyumba iwe ni kwa ridhaa yake au vinginevyo ni kosa kisheria, mtendaji wa kitendo hicho atahesabika amebaka, hilo la binti kutorokea kwa mwanaume halitambuliki kisheria (sijasomea sheria). Hayo mengine ni hisia zako tu
6. Tukio la Mwanza hakuna namna utamtetea mtuhumiwa, iwe lilifanyika kwa hiari au kwa hila. Mtendewa akikushtaki na akasema ulimlewesha au kumtishia na kumuingilia huna pa kutokea, hata kama ukumlewesha. RC ni dhamana kubwa sana haipaswi kuandamana na upumbavu wa kiwango hicho. Kwa hilo hata akikutwa hana hatia kwamba walikubaliana, limemtia doa kubwa na anapaswa kukaa pembeni.
7. Inawezekana ukawa sahihi kwenye hilo, lakini mtuhumiwa alionyesha kutokuwa smart hata kidogo, ukishakuwa kiongozi unatakiwa kuangalia kila hatua unayopiga
8-10. Hayo yatategemea na uchunguzi unaoendelea
NB: Sijasomea sheria mkuu P
 
Unamuona Mkuu wa Mkoa kama bonge la mtu. Unaona hata gari la Mkuu ni gari gani? Waziri tu anayetaka kuishi hivyo, lazima awe mpigaji.
Mkuu sijakuelewa vizuri,sijui vzuri maokoto ya mkuu wa mkoa lakini I'm sure at the end of the year mkuu wa mkoa hawez kukosa 20M ya kusafiri spend good time and return from abroad!
 
Watu wengi wanashabikia na kuaminishwa kwamba huyo Mhe. Alifanya hiyi kitu, ila ukitafakari kwa kina sana maelezo ya huyo binti na mazingira utagundua ni siasa za kuchafuana na huyo binti alitumika
Hii inaweza kua kweli,Watoto wa kike wengi siku hizi wanatumika kutengenezea watu kesi za kubaka ambazo ni za uongo

Ikidhibitika si kweli huyo binti awajibishwe
 
Kesi za kubaka nyingi ni za kutengeneza siku hizi

Mtoto wa kike hata kama ni mdogo anafundishwa mpk jinsi ya kujieleza ili kumuingiza mtu matatani

Siku hizi wanawake wengi huko mabarabarani hakuna mtu anaehangaika na kubaka
 
Mhe. Adv. Hilo tukio la kuishi na bodaboda akiwa chini ya umri wa miaka 17 haudhani ni tatizo, hata kama ni mtego haudhani huyo ni mtoto unambaka kwa kutumia utoto wake wa kutojielewa? Naomba unifahamishe kisheria.
Namalizia, kwa kisingizio cha huko nyuma aliwahi kufanya kitu kama hicho kama kinaweza kuhalalisha wewe kuishi na mtoto wa chini ya miaka 17! Natanguliza shukurani zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…