Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Sorry mkuu najaribu kuwaza kwenye angle nyingine, HAKUNA UWEZEKANO MKAKUBALIANA MKAFANYANA NA BAADAYE BINTI AKAKUGEUKA NA KUSEMA UMEMBAKA? na hata ukijitetea ukaonekana unataka kujitetea tu.

Huoni kama Sheria inawafavor Sana wanawake huku ikiwakandamiza wanaume?.

Binti wa zaidi ya miaka 20 anawezaje kufika nyumba ya kulala wageni au ndani ya gari ya mtu usiku akiwa kalewa HALAFU TUSEME KABAKWA hatuoni kama hapa kuna makubaliano na tunaiweka sana jamii ya wanaume Hatarini?

Mfano hapo umezungumzia vibinti vya 20yrs kwenda peke yao nyumbani kwa mwanaume na vikiwa na akili timamu vikanywa pombe na kuingiliwa - KWANINI TUSEME WAMEBAKWA?

Naamini kabisa Sheria hapa inahitaji marekebisho ili pande zote za mwanamke Vs mwanaume ziwe na haki.
Mwanamke ukiwa mazingira tatanishi kama Lodge, Guest house, kwenye gari usiku wa manane under influence ya pombe, nyumbani kwa mwanaume usiku wa maneno, mchana bila uwepo wa watu wengine wa jinsia yako na mwanaume sio ndugu yako HAPO HAKUNA RAPING.
Bora angesema kabakwa kawaida ni afadhali,tatizo ni huko kulawitiwa ni 30 years
 
Nilimaliza kidato Cha nne mwaka 1998 nikiwa na miaka 16.
Na issue hiyo ya mwanzo huyu binti Tusime alikuwa kidato Cha pili akiwa na 16yrs, na akatoroshwa na mwanaume Ili aolewe, na mahakamani hakusema kabakwa bali alisema walikuwa wanafanya mapenzi..yule bwana alihukumiwa sababu alijamihiana na binti underage ambae ni mwanafunzi.. Alihukumiwa miaka 30 lkn alipokata rufaa alipunguziwa kifungo kikawa miaka saba
Hakupunguziwa kifungo bali Jaji wa Mahakama ya Rufaa hakuona ushahidi kwamba huyo binti aliingiliwa na Mtuhumiwa kwa sababu ushahidi pekee ni maelezo ya binti na mama yake ambae hakuwepo wala kuona binti yake akimegwa! Hivyo basi, madai ya ubakaji yalitupwa na kisheria Mwamba hajawahi kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na kifungo chake kinatokana na kesi ya utekaji kwa sababu Mwamba alikutwa na binti LIVE!
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Nanyie wazee mmezidi kisa mna vyeo na pesa.
 
Fuatilia ile kesi, yule binti by then inaonekana alikua kavuka 18.

Shida ya kesi za hivi hata akishinda mahakaman bado kwenye jamii hajashinda, yaan ikishaenda tu mainstream tyr jamii inatoa hukumu hata kabla ya mahakama.

Yahaya Jamii ishamuhukum hata ikitoka ikagundulika walikubaliana au hakufanya basi atakosa tu adhabu ya mahakama lkn kwenye jamii, familia yake tyr wameshamuhukumu
Nilisoma yote alikua na miaka 16 mkuu, hata hvyo haikuthibitika kama kulikua na penetration (sexual intercourse) hivyo jamaa anatumikia abduction peke yake miaka saba
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Hao IJ huwa wanaangalia na matukio ya kufuatilia ndio maana hata suala la Azory, Saanane na kushambuliwa kwa Lissu wameyapotezea mpaka Sasa.
 
Sorry mkuu najaribu kuwaza kwenye angle nyingine, HAKUNA UWEZEKANO MKAKUBALIANA MKAFANYANA NA BAADAYE BINTI AKAKUGEUKA NA KUSEMA UMEMBAKA? na hata ukijitetea ukaonekana unataka kujitetea tu.

Huoni kama Sheria inawafavor Sana wanawake huku ikiwakandamiza wanaume?.

Binti wa zaidi ya miaka 20 anawezaje kufika nyumba ya kulala wageni au ndani ya gari ya mtu usiku akiwa kalewa HALAFU TUSEME KABAKWA hatuoni kama hapa kuna makubaliano na tunaiweka sana jamii ya wanaume Hatarini?

Mfano hapo umezungumzia vibinti vya 20yrs kwenda peke yao nyumbani kwa mwanaume na vikiwa na akili timamu vikanywa pombe na kuingiliwa - KWANINI TUSEME WAMEBAKWA?

Naamini kabisa Sheria hapa inahitaji marekebisho ili pande zote za mwanamke Vs mwanaume ziwe na haki.
Mwanamke ukiwa mazingira tatanishi kama Lodge, Guest house, kwenye gari usiku wa manane under influence ya pombe, nyumbani kwa mwanaume usiku wa maneno, mchana bila uwepo wa watu wengine wa jinsia yako na mwanaume sio ndugu yako HAPO HAKUNA RAPING.
Sex inataka consent the act itself, bila ya consent za pandę mbili. Mmoja akilalamika akuridhia hiyo inatafsiriwa ni rape.

Implying or what’s seems as an invitation sio consent. Dada kaja kwako, sijui kavaa ki suruali kimembana mpaka unaona ‘camel toe’, tisheti fupi tumbo nusu lipo nje na imembana mpaka chuchu zinachomoza, halafu kanywa na wine. Hiyo sio consent ukitaka kumgusa akisema hapana acha.

Mtu alie lewa hasa chakari pia kisheria anapoteza legal capacity ya kufanya maamuzi (intoxicated) same kama sheria inavyotambua mtoto mdogo kuna maamuzi hawezi fanya kwa usahihi peke yake.

We unadhani kwanini wanamichezo huko kwa wenzetu hasa wacheza mpira walikuwa na kesi nyingi sana za ubakaji (nyingine za kusingiziwa maana huko victims wanalipwa hela kibao kisa tabia zao za kuokota wanawake wa ovyo ma-bar, hata kama wengine wanawajua) akisha report umemuingilia huku akiwa ajitambui au kwa nguvu mjomba huo mziki ni wako kuonyesha kulikuwa na consent.

Kumtukana huyo binti akusaidii kesi yake huyo mkuu wa mkoa. Silaha pekee aliyokuwa nayo ni kama kweli huyo binti kapokea hela baadae afute kesi hapo sasa ndio wanasheria wake wanaweza mmbadilishia motives zake mahakamani.

Lakini kwa sasa hilo tukio kwa mlolongo wa maelezo ya usiku husika linaminajili yote ya rape.
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Kaka kama nikweli basi inasikitisha sana, Paskali RC anamtandao mkubwa ninahakika yataisha kwani yatafuatiliwa kwa kina sasa, huyu boda anasaidikaje?!!!😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Unataka kusema boda boda alionewa wakati unajua kabisa kutembea na mtoto chini ya miaka 18 ni kosa la jinai hata kama mtoto huyo ametaka mwenyewe boda alipaswa kumkwepa.
Issue sio kutembea na mtoto wa U-18 bali USHAHIDI kwamba alitembea nae! Binafsi ilitokea kukapenda Kabinti ka 16 years, na mara kwa mara alikuwa anakuwa ghetto, na wakati mwingine anatoka usiku. Pale ghetto nilikuwa naishia peke yangu, na sehemu ya kimya kweli kweli; yaani uzunguni fulani hivi. Lakini pamoja na kuja ghetto mara kwa mara lakini sikuwahi kumtia hadi alivyofikisha 18+. Sasa endapo Mahakama itakuwa inaegemea ushahidi wa binti na mama yake basi hata mimi nilikuwa na sifa zote za kupigwa 30 years kwa sababu tu binti angeweza kusema kila siku wakati wa likizo nilikuwa naenda kwa Bon na tulikuwa tunafanya mapenzi.
Kingine mkuu wa mkoa kwanini alikwenda kujianika club na hako katoto ka 21 year na huku akijua kabisa yeye ni mkuu wa mkoa na anafamilia..
Kwanini hapo juu umehalalisha jamaa kuhukumiwa kwa sababu she's U-18 halafu hapa tena 21 years unaita katoto?! Ukisia biasness ndo hiyo, kwa sababu ikiwa hoja yako ya kwanza ni suala la U-18 basi huyo wa 21 anaweza kutoka hata na Sheikh au Askofu wa miaka 75 na hayo mengine yakawa yao na Mungu wao na familia zao lakini sio kwa sababu ya "katoto"!
 
Legacy ya JF imejengwa kutokana na uchambuzi wa kina wa habari zenye utata kama hizi. Haya chini ni maoni yangu kama mmoja ya watu tuliosomea cuba lkn hatukumaliza mafunzo.

Turudi nyuma kwanza, binti alielalamika kudhalilishwa kingono na RC Yahaya alishawahi kuwa na kesi huko nyuma ambayo ilipelekea mpenzi wake kufungwa miaka 30 kwa kosa la kubaka. Lkn na hio kesi ilikua na utata sana kama alivyoandika Pascal Mayalla

Inaonekana wazazi wake ili kuzuia fedhea ya mtoto wao kutorokea kwa boda waliamua kulazimisha ionekane mtoto wao alibakwa japo kwa maelezo ya mwanzo ya huyo binti alikiri kuwa alienda kwa jamaa yake kwa utashi wake mwenyewe.

Sasa hawa wazazi nahofia walihonga sehemu au walipewa favor sehemu ili kukamilisha lengo lao la kushinda kesi na kumwangia boda mvua ya miaka 30.

Lkn tunajua favor huwa haziendi burebure. Watesi wa RC Yahaya kama zilivyoonesha chats za whatsapp zilizovuja (alizokuwa anazisoma Maulid Kitenge) walimtumia huyu binti kufanikisha lengo lao la kumuumiza. Je haya matukio mawili yanahusiana? Inawezekana waliowapa wazazi wa huyu binti favor miaka ile ndio wamekuja kudai deni na kumtumia tena huyu binti na mzazi wake kufanikisha nia yao ovu.

Yahaya kama ana team yake na anataka kuwajua wabaya wake aanzie kwenye hio kesi ya yule boda alofungwa miaka 30. Waliofanikisha hio hukumu wanawajua wabaya wake kama sio wao wenyewe.

Mwisho wanaume tuwe makini sana na hawa viumbe, huyu binti kaangusha ndoto za watu wawili kwa kumpa mmoja miaka 30 jela na kumchafua mwingine kwa tuhuma ambazo zitamfuata maisha yake yote. Weekend njema.
Kumbe Huyu ni mchezaji wa kiungo katika ubora wake.
 
Wanabodi

Kiukweli sometimes Jeshi letu la polisi ni michosho sana, katika kufanya uchunguzi, mfano shambulio la Lissu, walishindwa kufanya lolote mpaka leo, Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija hivyo hata hii issue, wanaweza wasiweze kufanya lolote, ila sisi watu wa media, tunaweza kusaidia kuubaini ukweli.

Simtetei Dr. Yahaya Ismail Nawanda, kwa sababu sijui for sure, nini haswa kilitokea, lakini kwa vile the source ni haka kabinti, TUMSIME MATHIAS NGEMELA, kuna wengi wameguswa na kudhani ni kweli alibakwa, na kuingiliwa kinyume cha maumbile, wakati usikute the reality ni consensual act, kisha binti akashitaki kuwa amebakwa kwa lengo la ku fix Dr. Nawanda!.

Nimesema hivyo, kwasababu, hii sio mara ya kwanza huyu binti kufanya tukio kama hili.

Angalia details za issue hii.

Said Seleman vs Republic (Criminal Appeal 60 of 2020) [2021] TZHC 7055 (11 November 2021)

Issue ilikuwa hivi
  1. Kalianza darasa la 1 kakiwa na miaka 4, hivyo kakamaliza form 4 kakiwa na miaka 16!-Jee ni kweli?
  2. Kati ya tarehe 23 November 2019 hadi 14 December 2019 kakiwa form 4 St. Mary Mpanda, kalitorokea kwa dereva boda boda Saidi Selemani, eneo la Msasani hapo Mpanda mkoa wa Katavi na kuishi nae kinyumba kwa muda wa wiki 3.
  3. Wazazi wake waka ka set kaseme kametekwa na kubakwa, na kweli kakatoa ushahidi wa kutekwa na kubakwa na huyo boda, boda akahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela!.
  4. Masikini boda hakuwa na wakili!. Ushahidi pekee kuwa amebakwa, ni uchunguzi wa daktari kuthibitisha amekutwa hana "B"!. Wasichana wangapi wa primari wanaanza mambo?, uwepo wa "B" ndio ushahidi wa kubakwa?.
  5. Ukisoma maelezo ya haka kabinti, kana kiri Boda ni mpenzi wake, na kametoroka nyumbani kwa ridhaa yake, na kakawa kanampa yote!, lakini mahakamani kakasema kametekwa na kamebakwa!. Boda akala kifungo cha miaka 30 jela!.
  6. Usikute hata hili tukio la Mwanza, hakuna ubakaji wowote, kuingiliwa kinyume kwa ridhaa, sio kosa la jinai ila ukishitaki ndipo linageuka ni jinai!.
  7. Kuna uwezekano mkubwa sana Binti alisetiwa, Dr. Nawanda akaingia line kwenye mtego, binti akashitaki kubakwa!.
  8. Baada ya binti kuripoti tukio, akajikuta ni yeye anajiharibia CV yake, akataka kufuta kesi.
  9. Natoa wito kwa Waandishi wa habari wa IJ, wasaidie hili kabla kesi haijafunguliwa, kesi ikifunguliwa, IJ haiwezi kusaidia kitu.
  10. Kwenye issue ya shambulio la Lissu, niliuliza WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

Paskali
Kumbe Udaktari ni poa hivi, hadi kubaini status ya B ni kazi ya Dokta[emoji39]
 
Mkuu walimchola mda mrefu itakua anatoka na uyo dogo,wakamPanga dogo achezeshe game,huenda maadui wanamjua kua ni kamalaya kazoefu kakutoaalinda town,wakamPanga,wakakapa Hela ndefu,assume uyo dogo apigwe 50M+,hata cheza game,?
 
Back
Top Bottom