Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Mkuu wa mkoa unazurura club usiku, unadinyana kwenye gari?? hayo ndio maadili?
 
Paskal,
Nimekuomba ufafanuzi, haujanipa ufafanuzi badala yake unanipa tano! Nilidhani hili ni jukwaa la kuelimishana siyo kupongezana.
 
Kwa nini urukeruke na vitoto?Hiyo ni zawadi ya umang'amang'a(ukware)!
 
Huyu RC naye bure kabisa! Yaani hiki kicheche ndicho cha kukusanya hata usimamishe? Mbona huko halmashauri ku a madem wakali tu alikosa kweli? Au naye alikuwa domo zege?
Kuna pisi kali sana hapo Simiyu haswa idara za elimu na afya, yaani standards kweli kweli. Yuko mmoja upande wa vyombo vyetu vya usalama ni mzuri hatari, alafu hajaolewa. Wewe unaenda kusumbuana na vicheche kwenye gari lako usiku.
 
Kulawiti ni kosa la jinai likiwa limetolewa taarifa.
Sasa Kwa tukio la Mwanza tungelijuaje.
Pili eneo tukio lilipotokea ni eneo sahihi hata kama alikubaliana na mtuhumiwa.

Tatu madaraka ya mtuhumiwa dhidi ya muhanga, unaonaje ni Sawa hata kama alikubaliana.
Kuna tuhuma la Ndugu ya Muhanga kupatiwa kazi, sasa hiyo inakuwa ni kukubaliana au nikulazimika kukubaliana na Hilo tendo.
Rejea suala la Yule Raisi wavBenki ya Dunia na msafisha vyumba vya hotel .

Kuhusu kesi ya Selemani dhidi ya Jamuhuri, umri wa Muhanga ulikuwaje, na sheria inasemaje juu ya Hilo.
Hivi karibuni tumeona kesi za watu maarufu huko Usa Kuhukumiwa au kushtakiwa kutoka na Ku jihusisha na mapenzi na watoto.
Ile kumzidi umri na kuwabna uwezo wa kipesa au Mali kama ghetto ya kumpeleka Mtoto kwako inahesabika kama ni hiari au ni kumburuza mtoto.wa chini ya umri wakuridhia Kwa kuelewa mazingira aliyepo.
Mwisho wewe ni mwandishi wa habari , sasa sijui miiko yako ya kazi inasemaje katika kuandika jina la muhanga katika kesi hii.
 
Huyo rc kapita barabara ya shortcut porini isiyo rasmi lakini leseni haitambui barabara za shortcuts zisizo rasmi. Ukipata ajali, utaulizwa huko ulienda kufanya nini mbona hiyo sio barabara?
😄

Ova
 
Sasa ndio umeandika nini? Hoja yako ni ipi hapo?
 
Ma Mahakama inaweza kuwa ilifanya makosa kwa sababu mahakama ni mtu kama wewe..
Wangapi katika nchi hii wanafungwa wa ushahidi wa uongo?

Huyo binti anashirikiana na wazazi wake kula pesa za dhuluma za umalaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…