Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Nyie wazes wa mjini. Je, ni maadili kwa mkuu wa mkoa mwingine yaani Simiyu kwenda mkoa mwingine yaani Mwanza mjini kuhudhuria birthday ya vianafunzi ambavyo hata siyo ndugu zake, na baadae CCTV kumnasa akienda nako hako kabinti ndani ya gari?

Mimi nahisi, mpaka mama katengua uteuzi hajakurupuka, huyo rafiki yako itakuwa alishaonywa aache tabia zake zake za usela usela, ujana mwingi na videmu vidogo vidogo vya hapa na pale!

Hivi Nawanda kweli huwa anaishi na mke?
 
Hatutetei mabinti kuanza ngono mapema ila huyo boda yy hakuona km huyo binti ni under age kulala naye?? Na ww babu mwenye mvi zako unashabikia eti walikuwa mtu na mpz wake?!! Wewe bintiyo wa miaka 12 unaweza kuruhusu aendelee na mahusiano na kijana ambaye atakuwa anatoka naye au utachukulia km ubakaji??

Tuje kwa huyo RC kwanini kiongozi wa serikali ananunua malaya club usiku?? Haoni km yeye ni picha ya Rais na taifa?? Hana mke? Na kwann apite mlango wa nyuma bila ridhaa ya mnunuzi wa bidhaa?? Acheni double standard kwa kutetea ujinga..!!
Huyo kiongozi lazima awajibike kwa makosa yake. Angetulia kwake yote hayo yasingemkuta na hata huo mnaosema mtego asingetegewa
 
Tanzania walioshika madaraka wengi wao ndio wajinga Ila wananchi wa Tanzania Wana Akiri Sana Ila wamefungwa na serikali wasipayuke na kuhaibisha viongozi.
 
Binafsi nimesoma andiko hili na Paschal nimeishia kusikitika. Paschal siyo wa kuandika utumbo hivi.
 
Binafsi nimesoma andiko hili na Paschal nimeishia kusikitika. Paschal siyo wa kuandika utumbo hivi.
Hajui nafasi yake katik jamii,Pascal Mayalla ni msukuma naomba utafute wimbo wa msanii wa nyimbo za asili inayeitwa Ng'wana Lunduma,wimbo unaitwa Bhagikulu,kuna mstari msanii anasema,Bibi tambua umri wako(hii ni baada ya mabibi na mababu kufanya mambo yasiyoendana na umri wao)

Hata mimi namwambia huyu pascal atambue umri wake
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ“βœοΈπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ—ΌπŸ›‘οΈ
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ“βœοΈπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Mkuu kutembea na mtoto wa shule ni hatari. Kwa kweli mahakama ilifanya kazi yake vizuri kwenye hiyo kesi ya zamani. Kwa upande wa Mh RC ukweli ni kuwa hana maadili ya uongozi yani hajui mipaka yake. Hii iwe fundisho kwetu sisi wanaume wazee tutulie na familia zetu. Starehe na nyege za kijinga zinaweza kupotezea sio tu heshima lakini pia na uhai. Aidha serikali nayo iendelee kutoa semina kwa viongozi kuhusu maadili pia itazame hili suala unakuta mtu kateuliwa mkuu wa wilaya mikoa ya mbali alafu familia iko dar au dodoma kwa hivyo anaishi kama msela tu. Tena ukute alikulia maisha ya kindezi hali ndio inakuwa mbaya zaidi.
 
Jaribu kama hauja Azory
 
kama ni mwalimu na unashindwa kuhoji vitu kidogo kama hivi utakuwa na matatizo!

Kwa akili ya kawaida huwezi kukubali ujinga you at amelawitiwa kivipi yaan?
Alitekwa? Hapana
walikutana vipi na RC

Kuna mambo unaona huyo malaya kazingua sana na nikuchafuana kisiasa na kuvunjiana heshima kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…