Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Hapahitaji mafunzo kivile.
Bali high moral standards zinakuokoa kwa silimia kubwa. ( Kumuingilia mwanamke mbele au nyuma bila ridhaa yake ni makosa, kwamtazamo wangu aliye ingia kwa nyuma uadilifu wake upo chini zaidi ya aliye ingia mbele)
Wewe una uhakika gani kwamba kweli huyo binti aliingiliwa kinyume na maumbile?? Wewe unaamini Madai hayo kwamba yana ukweli???

Hiyo ilikuwa ni njama tu za 'Watesi' wake huyo Mkuu wa Mkoa ili kuhalalisha madai na njama zao za kumng'oa madarakani huyo RC. Na hii mbinu ya kusema kwamba binti huyo amelawitiwa wameitunga makusudi baada ya kuona kwamba binti mwenyewe ana umri wa zaidi ya miaka 18 na ni mtu mzima, , hivyo madai ya kwamba amebakwa yangekosa nguvu ya kisheria katika kumtengenezea makosa huyo Mkuu wa Mkoa.
 
Paskali anajishushia heshima, nafikiri anazeeka vibaya
 
Ila RC kuwa na kibint cha miaka 21 kwenye gari unaona ni sawa?
 
Huyo binti ni mtu mzima, wala siyo mtoto Mdogo. Kwa hiyo Mimi binafsi sioni kosa lolote kwa upande wa huyo ex-RC kumtongoza huyo binti.
 
Huu ndio USENGE wa wanawake kuplay victim.
Huyo binti 21 years of age ni mtoto au young adult.
Kwanini asingemkwepa RC toka mwanzo!?
Binti ni MALAYA tu ambaye kaendeshwa na tamaa zake,kwa mtu ambaye hataki angeshalikwepa hili toka mwanzo.
 
Ila RC kuwa na kibint cha miaka 21 kwenye gari unaona ni sawa?
Ni sawa ndiyo, huyo binti siyo mtoto Mdogo. Mtu mwenye Miaka 21 Ni mtu mzima mwenye akili zake timamu kabisa za kuweza kufanya 'rational judgement.'
Sioni tatizo kwa Mkuu wa Mkoa au mtu mwingine yoyote yule kuwa na mahusiano na mtu mwenye umri huo wa miaka 21, ili mradi tu kwamba wamefanya hivyo kwa ridhaa yao wenyewe.
 
Huu ndio USENGE wa wanawake kuplay victim.
Huyo binti 21 years of age ni mtoto au young adult.
Kwanini asingemkwepa RC toka mwanzo!?
Binti ni MALAYA tu ambaye kaendeshwa na tamaa zake,kwa mtu ambaye hataki angeshalikwepa hili toka mwanzo.
Hapo wa kukwepa alikuwa RC na sio huyo bint
 
Ndio maana nasema hizi sarakasi za CCM na makada wake hazinishtui.

Ushahidi "concerete" upo kuwa Makonda alivamia Clouds TV na mitutu March 17 , 2017 na CCTV footage zipo !

Sabaya alivamia hotelini kwa Mbowe na mitutu October 28 , 2020 na footage za CCTV zipo.

Hawa wawili wamefungwa gereza gani??

Uchafu sio sehemu ya CCM kama CCM haikai na uchafu huo mtu aseme hawa wahuni waliofanya uhalifu wa kutumia silaha wapo gereza gani Tanzania


View: https://youtu.be/YFP4SBePhtQ
 
Paskali umetumwa?
Unatetea bodaboda kumurubuni mtoto wa miaka 16 na kumweka kinyumba aah aah aah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…