Simtetei Dr. Nawanda, ila binti anaweza kuwa ni tatizo?

Maadili ya kazi yake hayahitaji hayo
SIYO KWELI.
Endapo kama huyo binti angekuwa subordinate wake mahali pake pa kazi, hapa hoja yako ingekuwa Ina mashiko. Lakini kwa kuwa binti huyo ni mtu mzima, na wala Hana uhusiano wowote ule wa kikazi au wa kindugu na huyo ex-RC, basi hakuna maadili yoyote yale ambayo yamekiukwa na huyo RC. Mahusiano yao yalikuwa halali kabisa kwa mujibu wa Sheria za nchi hii.
 
Kwahiyo wamekosea kumtumbua?
 
Brother wewe ni lawyer tena wakili kama sikosei.Kumlala mtoto chini ya miaka 18 linaangaliwa swala la consent ama sheria inasemaje ikithibitika umefanya kama bodaboda alivyokutwa amefanya kama ulivyodokeza? Pili,kumuingilia mtu kinyume cha maumbile hata kama victim aliridhia,penal code inasemaje? Lete majibu .mkuu.
 
Kabinti ni kashenzi sana,ila Nawanda nae alizingua mtu ushakua na wadhfa wa RC bado unatoka na vibinti mcharuka vya nini wakati mishangazi ipo.
Naye kwa kukosa kwake maadili wacha akome! Ila aibu amepata aisee watoto wake wanasoma habari zake kwenye mitandao kwamba baba aliingilia kabinti Kinyume na maumbile akatumbuliwa! Aibu hiyo naificha wapi aiseee!
 
Laki mbona ndogo sana..?
 
Tanzania tuitakayo ikoje hiyo
 
Niliona rc anakomaa kwa injinia njoo utoe takataka yako nikasema hiii ,wanamletea zengwe. Mitego hii mtu aliyeweza kuikwepa ni fidel castro peke yake. Alishawindwa mara 200 na kanasurika na alifariki akiwa na miaka 90. Jamaa alishategewa mpaka wine sumu,ilivofika kwake unaambiwa mganga wake kiboko,glass ikavunjika kabla ya castro kunywa. Niliona video za kaz za Rc anashangaa juu ya chumvi kukosekana hivyo jenereta zima kabisa kushindwa kuwaka.kwanza ana uelewa wa field na ana abc za miradi za material n.k.hivi vitu ni muhimu,kwansa ukiwatisha watumish ukifika site unaomba tape,hujakaa vizur unaomba nyundi unapima ratio aa lazima waogope namna alivyokuwa anakagua jengo na ukali ule, lazima walimchukia
 
Unatetea mtoto wa miaka 16 kusema uwongo kwamba alitekwa? Au na wewe umetumwa?
Ingekuwa uongo huyo bodaboda asingekula nyundo 7 gerezani sasa na wewe jichanganye kwa mtoto wa chini ya miaka 18 uone mahakama za Tz zitakavyofanya zitakusikiliza wewe au mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…