Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
mtumba au mpya?Nunua Google pixel hutajutia kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtumba au mpya?Nunua Google pixel hutajutia kabisa.
Anza kuangalia na capacity ya kutunza chaji. Sio camera kali ila chaji inatema sanaWakuu
Ni simu gani ambayo inaongoza kwa kamera bora zaidi na ya bei nafuu
Na storage capacityKwenye simu mtu yyte kama hamjui wanafocus vitu vitatu betry/ charge camera durable hapo mtu yyt unaweza kupata 1 au 2 ni aghlabu kupata yote kwa kampuni moja hasaa hz simu zetu za kuanzia lak 4 kushuka
HAPO KWENYE NENO BEI NAFUU NDO ULIPOHARIBU..!!Wakuu
Ni simu gani ambayo inaongoza kwa kamera bora zaidi na ya bei nafuu
Mtumbamtumba au mpya?
Used from Dubai unapata kwa 280kNi shilingi ngapi iyo ya ivo
Ninayo 4a gb5 ilipauka kioo nikaambiwa laki2 na usheee. nishaitunza tuMtumba
Usinunue simu online nenda dukaniVip ukininua simu kwa njia ya mtandao mfano alibaba au kikuu huwa sio matapeli kweli
Mpya itapendeza.mtumba au mpya?
Hovyo kwenye kitu gani mkuu..kwa maana kesho tu nataka niichukueUsinunue pixel mkuu. Utakuja kunishukuru. Ni simu ya ovyo sana ila kamera kweli Iko fire.
Tz zipo mpya mkuu?Mpya itapendeza.
Kama unatumia Pixel chini ya 6pro tupa uo uchafuPixel ipi Ina 5000maH
Mpya ina ngapi mkuu?
Full Box ni 700,000+Mpya ina ngapi mkuu?
Aisee mbona mimi natumia lakini sioni uo uhovyo?Usinunue pixel mkuu. Utakuja kunishukuru. Ni simu ya ovyo sana ila kamera kweli Iko fire.
Problem reading battery meter nkAisee mbona mimi natumia lakini sioni uo uhovyo?
Battery,ni mbovu hasa series ya p4xl na baada yake.nbHovyo kwenye kitu gani mkuu..kwa maana kesho tu nataka niichukue