Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

Mkuu kati ya iphone 11 pro max na xs max nichukue ipi kwa uzoefu wako?
Mbona ni vitu mbalimbali hivyo kabisa. 11 PM ni kubwa kwa size hivyo huwa siipendi lakini ina battery kubwa, kama size yake utakubaliana nayo chukua. Badala ya XS Max fikiria iPhone XR 128GB.

Ni vizuri kuhakikisha camera ni clean, haina messages kama display message na battery message na battery health iwe 92%+, ila ikiwa mfano 96% ni vizuri zaidi kuliko ikiwa 100%. Achana kabisa na iPhone 11 plain. Una bajeti gani?
 
Wewe ni mwanamke hakuna namna unaid zaidi ya moja
Unawaz vitu vy ajabu
Hizi simu nataka ninunue zawadi kwa watu niliowahaidi. Naweza nunua simu niwapatie ila kwa bajeti ya kiasi nilichonacho


Uliza hawa wananijua zaidi ya hapa
Andazi
mshamba_mwingine
Nourhan
Ms eyes
Leejay49
 
hii iphone xr 128gb naipata kwa kiasi gani kwa kuzingatia condition nzuri ya betr na mengne uliyoyazungumzia hpo juu?
550,000 used abroad ila in good condition, na ni ngumu kuipata. 64GB haizidi 500,000.
 
Nina laki 7 na nusu, niliona mijadala 11 Pm haina display kali kama xs max, wanasema 11 kamshinda xs max kwenye camera tu

mm napendelea simu iwe kubwa 6.5+ screen size, display na camera kali

au niongeze ngapi kwenye bajeti yangu nichukue 12 pro max used?
 
Hapa kwenye display na battery message sijakuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…