Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

Si na wewe uchune tu yanini kujipa jaka la moyo uchune tu km kukutafuta atakutafuta km kasepa sawa tafuta wa kureplace haraka sana..
 
Missed calls mwisho ni tatu tu. Yeye atakutafta akiziona. Aki-mute na ww unakula bati! Be a gentleman! Stay gentle!
 
Si na wewe uchune tu yanini kujipa jaka la moyo uchune tu km kukutafuta atakutafuta km kasepa sawa tafuta wa kureplace haraka sana..
Najaribu kuvunga lkn nashindwa mkuu. Najikuta tu mara natuma sms au kupiga
 
Hizi sredi za kufikirika ipo siku zitakuwa za kweli
 
Hata mm najipa moyo ktk hili. Ndiyo maana bado naishi. Bila haka kamwanya ningekuwa peponi muda huu
Fata ushauri wa comment ya kwanza jaribu kumpigia na namba nyingne ikiwezekana mpe mtu mwngne Aongee nae Ajifanye amekosea namba kama akipoke baada ya Muda mpigie tena Kwa namba yako asipopokea tena jua hauna chako hapo
 
She's typically dating another guy wherever she's now, Anza process ya kutafuta mchumba mwingine maana hapo umeshaachiwa manyoya.
 
Fata ushauri wa comment ya kwanza jaribu kumpigia na namba nyingne ikiwezekana mpe mtu mwngne Aongee nae Ajifanye amekosea namba kama akipoke baada ya Muda mpigie tena Kwa namba yako asipopokea tena jua hauna chako hapo
Daah! Hii dunia aisee. Basi tu bhandugu
 
Tafuta kazi ya kufanya
Hauna mtu hapo mpenzi mtazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…