Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Simulizi fupi: Mtoto wa miaka 8 alifanya nikajuta kuishi ugenini

Mtoa mada na wewe bana, mambo ya kuambiwa na mtoto wa miaka 8 unaenda kusemea, afu acheni ujinga wa kisasa ndo maana watoto wanaharibika, mtoto wa miaka 8 akileta swaga kama hizo ni kumgonga stick za kutosha heshima inarudi mimi Kuna upuuzi siwezi vumilia hata nikiwa ugenini

Siku izi unakuta hata mjomba anashindwa kuwaadhibu wapwa zake mpaka asubirie wazazi wao aje kuwasemea, stupid!
Unaweza kapiga kakazima ikaonekana katili na mtesaji watoto. Vitoto vya siku hizi ni changamoto sana eneo la malezi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa mnafaidika nini kuandika uongo? maana imekuwa kama fasheni. eti jicho kiini kinabadilika rangi.... umeangalia movies za kutisha then unaamua kuja itungia story
Bro wanasemaga "hadithi njoo , uongo njoo, ukweli njoo, utamu kolea" sasa nadhani hicho ndio kipande cha uongo njoo ili mradi tu utamu ukolee.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naogopa kesi miaka 30 Jera
Wewe hebu acha kujibu jibu comment nenda ukatype story tuendelezee unatukoroga hapa na utamu halafu unakaa kimya mbwa wewe unatutesa shenzi wewe hebu nenda kaandike story. Ukichelewa mimi na unsubscribe kwenye huu uzi maana haupigi hatua. Unanikera sana.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo scenario imenitoke nilikuwa na naishi kwa uncle wangu Basi yule uncle ana watoto wa kike nikifika chumbani wanataka kulala na Mimi kitanda kimoja , dah nilikuwa naona msala hii ilinipelekea kuanza kulala saa nane usiku na kukaa sebuleni nikijifanya naangaolia movie kumbe hata Mimi SIPENDI movie


i agree with mtoa mada
Unajua ndio maana ni ngumu sana kujua mwanamke anakuwa mtu mzima katika age gani. Maana unaona kitoto cha miaka 8 tayari kimeanza kupata hisia sasa kakifika 18 haka si tayari moto wa makaa ya mawe umeshakolea.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
nimeshangaa sana. maana hapo ilikuwa ni suala la kumuita tu huyo mtoto na kumuuliza kisha kumtandika viboko hasa vya ukweli. huyu jamaa anaweza kuwa ni mbakaji wa watoto sema anataka ku justify kuwa alishawishiwa. mimi mtoto wa umri huo anaanzaje kunitega?
Jana nilikuwa natazama taarifa ya habari. Huko Manyara watu wanabaka na kulawiti watoto hadi nikajiuliza inamaana wanawake hakuna.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Unajua ndio maana ni ngumu sana kujua mwanamke anakuwa mtu mzima katika age gani. Maana unaona kitoto cha miaka 8 tayari kimeanza kupata hisia sasa kakifika 18 haka si tayari moto wa makaa ya mawe umeshakolea.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Watu wanaweza wakahisi utani kumbe ni vitu real na vipo.
 
me ninachoona anaangalia watu wanavyokoment ili aimodify story yake, amna kitu apa
Mimi kishanikera sidhani kama nina mood ya kuendelea kusoma story yake. Nakerekwa sana na tabia ya kucheleweshewa kitu ninachotaka kwa wakati fulani huwa sikawii kususa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Inaendelea sehemu ya 5

Maisha yaliendelea pale kwa mama mkubwa furaha na amani vilitawala muda mwingi nilikuwa na sister angu Mara twende town nimsindikize huku alikuwa ananikubari sababu Mimi ni mtu wa utani real comedian ukikaa na Mimi utacheka Sana.....
Ila shemeji mama yake na Aisha hatukuwa na mazoea kivile tokea yaliyotokea siku Ile kuhusu kutaka kuniwekea sumu,sikuwa na tatizo nae na nilijua Aisha ni muongo sijui alikuwa ana Nia gani na mama yake Yani mtoto wa miaka 8 anakuwa hivi au tunaishi na mkubwa mwezetu yupo nikawa nafikiria labda mama Aisha anamtumia Aisha kuja kuniharibia hapa kwa mama mkubwa Ila mbona ni mtu Safi tu mkarimu na muongeaji mzuri tu nikawa natafakari maisha ya ugenini ni magumu
Kuna siku moja nilikuwa nipo chumbani baada ya mishe nikajilaza nikapitiwa na usingizi nakuja kushtuka namuona Aisha kanilalia yupo juu yangu naye kusinzia nikamtoa taratibu...
Nikamlaza taratibu pembeni
Aisha alizidisha vituko Mara anifanyie hivi Kuna muda anaongea maneno ya kikubwa mpaka nikawa nashangaa huyu mtoto kajifunzia wapi au anamsikiliza Nani hili swala ikabidi nimwambie sister angu ili aweze kunisaidi lile Jambo likamfikia mama mkubwa ikabidi aishi achezee viboko ya kutosha kutoka kwa mama yake na Bibi yake mama mkubwa na aniombe samahani na arudishwe kwao tanga...mama mkubwa akawa ananisumulia hii tabia ya Aisha ni Mara ya pili inatokea ndo Mana ata walivyosikia malalamiko kutoka kwangu wakaamini Aisha amerudia tabia yake ambaye walijua ameshaacha na kingine Aisha alikuwa ana mashetani ambayo yalikuwa yanapelekea kufanya hivyo ikabidi nimuelezee yote yalitokea na nilivyojitahidi kujizuia na kumkemea pale nilipoona yanazidi
Aisha na mama yake ilibidi waende tanga kwa mapumziko kidogo
Maisha yaliendelea vizuri mpaka likizo ilipo malizika nikarudi chuo

.......,......... MWISHO..........

Nb : Imebidi Kuna vitu nivipunguze ili story isiwe ndefu Sana Ila mkasa ndo huo niliopata ugenini...Aisha nilimchukulia Kama mwanangu na nilikuwa namkemea kila akitaka kunishika sehemu nyeti..
Aisha saizi ni mkubwa ana miaka 12 na shuleni Yuko vizuri sanaa
Wewe umetest mitambo kwa kukaa kimya ili uone raia watarespond vipi maana kiukweli kwa mwenendo ule ulikuwa mawili huyo mtoto ulikuwa unampiga mashine mdogo mdogo hadi aizoee.

Mabazazi mbona tunawajua. Kuna watu aiseee stimu zao zipo kwa watoto ambao hata hawajaanza kuota chuchu wala pubic hair. Mtu huko ndipo tamaa yake ndio ipo. Mmmmmmhmn subahana.



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sijaona sehemu ulipojuta kukaa ugenini hata kidogo. Lakini maswaibu yote ulikuwa unayataka mwenyewe.

Aisha ni binti mdogo mno. Ni kumtandika viboko tu na kuendelea na maisha yako. Ninachoona na wewe ulikuwa unamuendekeza ndipo naye akapata kichwa. Ndiyo kusema huenda ulikuwa unafurahia kutomaswa na hako katoto.
Ngumu sana mtoto kuanza hayo mazoea kama haujamjengea mazingira. Hata mtoto akiwa na mashetani basi hayo mashetani huwa yanaangalia.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom