Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
- Thread starter
- #1,121
Soma post #968 na #969 kuna hayo mambo...Hicho kipande cha Dodoma sijakisoma kabisa msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post #968 na #969 kuna hayo mambo...Hicho kipande cha Dodoma sijakisoma kabisa msaada tafadhali
Kweli kabisaBado yapo maswali hayajapatiwa majibu likiwemo; ni nani alikuwa anamlinda Jason Sizya dhidi ya adui kule Capital Club Dodoma?...
ShukraniSoma post #968 na #969 kuna hayo mambo...
Mkuu umepotea muendelezo liniSoma post #968 na #969 kuna hayo mambo...
Bado naumwa, nina maumivu makali sana ya kichwa na shingo imekakamaa, siwezi hata kugeuka... Na Jumatatu wananifanyia uchunguzi mwingine ili kujua tatizo nini, nadhani Mungu akipenda nitaitupia yote iliyobaki...Mkuu umepotea muendelezo lini
Jamani! Pole sana mkuu! Mwenyezi Mungu akupe shifaa urudi katika majukumu yako inshallahBado naumwa, nina maumivu makali sana ya kichwa na shingo imekakamaa, siwezi hata kugeuka... Na Jumatatu wananifanyia uchunguzi mwingine ili kujua tatizo nini, nadhani Mungu akipenda nitaitupia yote iliyobaki...
Mkuu Mungu akupe uponyaji!Bado naumwa, nina maumivu makali sana ya kichwa na shingo imekakamaa, siwezi hata kugeuka... Na Jumatatu wananifanyia uchunguzi mwingine ili kujua tatizo nini, nadhani Mungu akipenda nitaitupia yote iliyobaki...
Pamoja sana bishop,tufanyie wepesi ndugu yetu,tupia mambo tumemmic Jason!Bado yapo maswali hayajapatiwa majibu likiwemo; ni nani alikuwa anamlinda Jason Sizya dhidi ya adui kule Capital Club Dodoma?...
Nashukuru Mungu tatizo limegundulika na nimeshaanza tiba. Kwa sasa nipo sawa kisaikolojia kwani ilikuwa inaniumiza mno kuona naumwa lakini ugonjwa haujulikani, tiba napata lakini sipati nafuu!Pole sana chief Bishop Hiluka
Pole sana mkuu wetu, Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu kwa afya yako. AamenNashukuru Mungu tatizo limegundulika na nimeshaanza tiba. Kwa sasa nipo sawa kisaikolojia kwani ilikuwa inaniumiza mno kuona naumwa lakini ugonjwa haujulikani, tiba napata lakini sipati nafuu!
Mungu akipenda kesho naubwaga mzigo wote humu ndani. Tusameheane maana season hii ya UTATA pia imekuwa na utata kwenye afya yangu...
Pole Sana bishopNashukuru Mungu tatizo limegundulika na nimeshaanza tiba. Kwa sasa nipo sawa kisaikolojia kwani ilikuwa inaniumiza mno kuona naumwa lakini ugonjwa haujulikani, tiba napata lakini sipati nafuu!
Mungu akipenda kesho naubwaga mzigo wote humu ndani. Tusameheane maana season hii ya UTATA pia imekuwa na utata kwenye afya yangu...
Mwenyezi Mungu akupe shifaa!Nashukuru Mungu tatizo limegundulika na nimeshaanza tiba. Kwa sasa nipo sawa kisaikolojia kwani ilikuwa inaniumiza mno kuona naumwa lakini ugonjwa haujulikani, tiba napata lakini sipati nafuu!
Mungu akipenda kesho naubwaga mzigo wote humu ndani. Tusameheane maana season hii ya UTATA pia imekuwa na utata kwenye afya yangu...