Simulizi: Mimi na Mimi

Simulizi: Mimi na Mimi

Returning main characters for Season 3: JC, Miryam, Tesha, Mariam, Ankia, Bobo, Bi Zawadi, Bi Jamila, Adeline, Leah, Jasmine, Stella, Beatha, and Festo!

Wataongezeka na character wengine muhimu kama Simba rafiki yake JC, na Evelyn, binti ya JC. Fanyeni utabiri 😁
Hatimaye nimemaliza dah sio poa, kwa hiyo ndo kusema kumtafuna kote kule miryam mpaka mifupa awe dada ako hapo haiwezakani kabisa tumekataa ndoa tunayo na tunatamba nayo.
Ninawaza tu baba yao Miryam na Joshua asije akawa mzee Frank Mayanza🤣🤣 kama nawaona Jasmin na JC wanavyorudi kwao Mbagala na Miryam na Joshua kuhamia Gobaaa😆
 
Mkuu Elton Tonny nina changamoto ya kifamilia na ninaomba ushauri kutoka kwako.
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee(baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo ivi ndani ya siku za hivi karibuni katika familia yangu mama yangu wa kufikia huwa anashindwa kutafsiri vitu vizuri kwa mfano.
ukimuuliza kitu flaani anajibu kengine ,
anazunguka nyumba nzima usiku kucha (halali), hali vizuri na sometimes huwa anapiga makelele kiufupi ni kama anaukichaa flaani ivi japo sina uhakika ni aina gani ya ukichaa pia nimegundua imani potofu na kumbukumbu zinamtesa sana.
Tumejaribu kumpeleka hospitali lakini haisaidii
misikiti pamoja na makanisa haisaidii pia .

samahani lakini ila kunawakati nashindwa kuendesha masomo yangu pamoja na wadogo zangu vizuri.
 
Sio Eltony ila nafikiri Ugonjwa wa akili hupotea na huenda kurudi baada ya muda fulani. Je alipelekwa kwenye hospital za magonjwa ya akili na kupatiwa matibabu yanayohusika?
 
Pole ndugu. Inawezekana mama akawa na tatizo fulani kisaikolojia ama ugonjwa ikiwa hayo yote siyo mambo ambayo alikuwa akipitia hapo awali. Ikiwa amefikia hatua ya kupiga makelele basi hiyo inaonyesha si jambo dogo. La muhimu kwanza jaribuni kumpeleka hospital, achunguzwe, labda anaweza kupata tiba, kisha kadiri siku zinavyoenda ikitegemea na jinsi ambavyo hali yake itakuwa mtaona ni kipi cha kufanya kumsaidia zaidi. Siyo kwamba me ni expert mdogo wangu, ila naona hilo Ndiyo moja kati ya mambo ya msingi mnayotakiwa kufanya. Na pia... anahitaji zaidi kuwa karibu zaidi na familia. Yaani, wapendwa wake wote wampe support ndani ya kipindi hiki, anahitaji kuuhisi upendo wenu.
 
shukhran mkuu nitalifanyia kazi .
 
Sio Eltony ila nafikiri Ugonjwa wa akili hupotea na huenda kurudi baada ya muda fulani. Je alipelekwa kwenye hospital za magonjwa ya akili na kupatiwa matibabu yanayohusika?
familia haitaki apelekwe huko mkuu.
 
Pole ndugu. Inawezekana mama akawa na tatizo fulani kisaikolojia ama ugonjwa ikiwa hayo yote siyo mambo ambayo alikuwa akipitia hapo awali. Ikiwa amefikia hatua ya kupiga makelele basi hiyo inaonyesha si jambo dogo. La muhimu kwanza jaribuni kumpeleka hospital, achunguzwe, labda anaweza kupata tiba, kisha kadiri siku zinavyoenda ikitegemea na jinsi ambavyo hali yake itakuwa mtaona ni kipi cha kufanya kumsaidia zaidi. Siyo kwamba me ni expert mdogo wangu, ila naona hilo Ndiyo moja kati ya mambo ya msingi mnayotakiwa kufanya. Na pia... anahitaji zaidi kuwa karibu zaidi na familia. Yaani, wapendwa wake wote wampe support ndani ya kipindi hiki, anahitaji kuuhisi upendo wenu.
lakini kwa yeye kukaa na sisi naweza nikasema haiwezekani. Kwasababu sisi ni wanafunzi hatutokuwa na muda wa kumuangalia. Hata tukisema tulete beki tatu hatoweza kuvumilia mambo yake zaidi ya kutufanyia fujo tu usiku na mchana.
 
Too much unnecessary drama ambazo hazina reality, crap story 🚮🚮🚮
 
Too bad . Wana sababu za msingi kukataa?

Ninachojua akipata matibabu ya akili anakaa sawa na kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Vinginevyo hakuna anayeweza kuishi naye na huenda akawaathiri na nyinyi mkajikuta mnaangukia kwenye tatizo lake
familia haitaki apelekwe huko mkuu.
 
Bwana Elton Tonny vipi Season 3 kwenye ma group ya WhatsApp haipo?
 
Kuna uzi mo
Mkuu Elton Tonny nina changamoto ya kifamilia na ninaomba ushauri kutoka kwako.
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee(baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo ivi ndani ya siku za hivi karibuni katika familia yangu mama yangu wa kufikia huwa anashindwa kutafsiri vitu vizuri kwa mfano.
ukimuuliza kitu flaani anajibu kengine ,
anazunguka nyumba nzima usiku kucha (halali), hali vizuri na sometimes huwa anapiga makelele kiufupi ni kama anaukichaa flaani ivi japo sina uhakika ni aina gani ya ukichaa pia nimegundua imani potofu na kumbukumbu zinamtesa sana.
Tumejaribu kumpeleka hospitali lakini haisaidii
misikiti pamoja na makanisa haisaidii pia .

samahani lakini ila kunawakati nashindwa kuendesha masomo yangu pamoja na wadogo zangu vizuri

Mkuu Elton Tonny nina changamoto ya kifamilia na ninaomba ushauri kutoka kwako.
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya sekondari ya juu ninaishi na mzee(baba), wadogo zangu pamoja na mama wa kufikia. Situation ipo ivi ndani ya siku za hivi karibuni katika familia yangu mama yangu wa kufikia huwa anashindwa kutafsiri vitu vizuri kwa mfano.
ukimuuliza kitu flaani anajibu kengine ,
anazunguka nyumba nzima usiku kucha (halali), hali vizuri na sometimes huwa anapiga makelele kiufupi ni kama anaukichaa flaani ivi japo sina uhakika ni aina gani ya ukichaa pia nimegundua imani potofu na kumbukumbu zinamtesa sana.
Tumejaribu kumpeleka hospitali lakini haisaidii
misikiti pamoja na makanisa haisaidii pia .

samahani lakini ila kunawakati nashindwa kuendesha masomo yangu pamoja na wadogo zangu vizuri.
Kuna uzi Moja humu humu jamii forum Kuna mtu alikua anaeleza jinsi Mwenyezi Mungu anavyotutendea, ivyo akataka wadau waeleze vile Mungu kawafanyia maajabu Kuna mtu kwenye maoni yake ameeleza hii, kua mke wake alikua na tatizo kama hili wakapitia misukosuko badae wakapata daktar muhimbili, kama sikosei alisema tatizo linaitea "depression" ila watu wengi hawatambui, kwanza nitafute huo uzi
 
Fuatilia uzi unaoenda kwa title ya "mambo Gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu apoapo" soma comment zote za mtu anaejiuta "jidu la mabambani" naamin utapata kitu
 
Tesha majibu yake na matendo yake ni mimi kabisa😅,
ila mbagala zakhem nilifika miaka ya 90,hata Dar live haikuwepo.
Ilikua Land rover heardquarter Tz.
Nilikua pale sana kwa mambo ya kawaida tu.
Rangi tatu badae sana niliwai kufika kwa issue ndogo tu na nikaenjoy sana tu ilikua pale mwisho pembeni tu
St Antorny niliwai kwenda kulikua na ka hostel pale kwa watoto wa kike.
huyo ndo mke wangu kiroho km jc alivyompenda Miriam.
ila sikuwai kukaa huko,
likizo huyu mwamba alichukua, mi niliwai kukaa mtoni kwa aziz ally.
Miezi 6 tu
Yaliyotokea huko mungu anajua.
ila una kwako,una kwenu,unaamua tu kujificha na yale mazingira uliyozoea.
kwa hadithi hii nimemuelewa sana JC.
ingawa kuna mengine sikupitia km yeye.
 
³Hii kitu,ujana maji ya moto nilipiga mwanamke mtoto wa mama mwenye nyumba na mabinti zake wawili,badae mdo wake kaja na mabinti wawilili nikalala nao mbere,badae akaja huyu nae akaliwa kichwa,
eliza rip🙏
Mpangaji mjimama hivi nikalamba na binti zake wawili
Wote ilikua km playboy house.
Kwenda kutafuta mbususu ilikua ngumu sana,
Wako km 10 mle unahama vyumba tu.
Na ukilala unakuta mtu juu ya kuukalia.
"We vp?aah nilikosea chumba.
Na wote walikua moto haswa
 
Kuna uzi mo

Kuna uzi Moja humu humu jamii forum Kuna mtu alikua anaeleza jinsi Mwenyezi Mungu anavyotutendea, ivyo akataka wadau waeleze vile Mungu kawafanyia maajabu Kuna mtu kwenye maoni yake ameeleza hii, kua mke wake alikua na tatizo kama hili wakapitia misukosuko badae wakapata daktar muhimbili, kama sikosei alisema tatizo linaitea "depression" ila watu wengi hawatambui, kwanza nitafute huo uzi
shukhran mkuu nimepata ujumbe wako.
 
Kuna jambo la kujifunza kwenye hii hadithi,miriam alifungwa kwe nye mambo yasio sawa.wamemtumia sana tu,
We uliona wapi kuna kina mama wa3 watu wazima tu wana nguvu zao kabisa.
Lakini wamekaa tu asubuhi mpk usiku kuangalia tamthilia tu,huyo dogo tesha mlevi ila mi simlaumu nayeye alikua jobless.
Afanyaje?
Anapiga gambe.
Mamu hilo sina la kusema hisia zake ilikua huyu atakua mme wangu sasa kunyanganywa tonge mdomoni lazima ashtuke.
By the way Jc utunzi huu umeufanyia kazi ipasavyo mpk sasa.
Tunangoja,festo na madame wameishia wapi?
 
Back
Top Bottom