SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

kali linux unaongelea mambo mazuri na makubwa sana kwa wanadamu. Ningependa kusikia zaidi kuhusu namna ya kuondokana na kukataliwa au kushindwa mara kwa mara katika jambo. Sitajali ukini DM kwa maelezo zaidi.

Huwezi amini kukataliwa na kushindwa umekutengeneza kwenye akili yako wewe mwenyewe bila kujua
We are co creators,chochote unachokiona kwenye maisha yako wewe ni muhusika mkuu
 
Dini zote zina impose fear,huwa nadhani dini ziliundwa ili kupunguza hii nguvu ndani yetu,waliotuletea dini Inawezekana hawakutaka kuwe na watu wengi wenye uwezo wa kutambua nguvu za asili
Tena sisi blacks ndio tumekumbatia dini inatulemaza sana
Fear inasababisha
Depression, fear, failure, high/low body pressure, mentally health problems, poverty, ignorance,
 
Dini zote zina impose fear,huwa nadhani dini ziliundwa ili kupunguza hii nguvu ndani yetu,waliotuletea dini Inawezekana hawakutaka kuwe na watu wengi wenye uwezo wa kutambua nguvu za asili
Tena sisi blacks ndio tumekumbatia dini inatulemaza sana
Exactly mkuu.. binadamu tumeumbwa na nguvu kubwa mnoo..mara nyingi iko dormant kutokana na life style yetu tangu udogoni...but tunaweza kuiamsha tukiamua.
 
True dat
 
Exactly

Na hii ndio pekee njia ya haki ya kutajirisha mtu. Kumfanya mtu awe mkuuu kwelikweli (a great person)
Mwanzoni haya maneno nilijua ni nothing but letters and stories. ila niliyaishi nikashangaa vitu vizuri tu vinanifuata.

Yani unaweza kumtendea mtu jambo jema usiyemjua kwenye daladala lakini ukashangaa ukifika unakoenda nawewe unatendewa mema na watu usiowajua ambao hata hawajui kama ulitenda jambo gani, Yani ni kama nature inakulipa.
 
  • Taking care of yourself: Kujali afya yako. Hii inajumuisha kula lishe bora, kupata usingizi wa kutosha, na kufanya mazoezi mara kwa mara. Unapotunza afya yako ya mwili na akili, uko katika nafasi nzuri ya kujisikia vizuri juu yako mwenyewe.
  • Setting realistic goals: Kuweka malengo ya kweli. Unapoweka malengo ambayo ni ya changamoto lakini yanawezekana, uko katika nafasi nzuri ya kufanikiwa. Hii inaweza kukupa msaada wa kujiamini na motisha.
  • Celebrating your successes: Kuadhimisha mafanikio yako. Unapofanikisha lengo, chukua muda wa kusherehekea mafanikio yako. Hii itakusaidia kuimarisha imani yako chanya juu yako mwenyewe.
  • Practicing positive self-talk: Kufanya mazoezi ya mazungumzo chanya na wewe mwenyewe. Njia unayozungumza na wewe mwenyewe ina athari kubwa kwa kujiamini kwako. Kuwa mwangalifu na mawazo yako na ubadilishe mazungumzo hasi na maoni chanya
 
Makala nzuri Sana jitahidi utujuze basi tufahamu maana pia Nia nimoja la agizo tunloambiwa na hawa wanao jiita Aman of God. Tutafute yaliyofichwa sirini
 
Shusha vitu mkuu tupo wengi tunapenda kujifunza vitu vipya

Mkuu mbona kimya ?

Tumpe time , kuna kitu anakiandaa

Makala nzuri Sana jitahidi utujuze basi tufahamu maana pia Nia nimoja la agizo tunloambiwa na hawa wanao jiita Aman of God. Tutafute yaliyofichwa sirini

Hiii naona kama inanihusu kabisa

Jamaa hujibu mbona

 
Miungu ipo. Tena ipo mingi sana, shida Ni kwamba haina habari/matendo yao makuu ambayo yapo kwampangilio wa kina na wenye ushawishi mkubwa kuelezeka Kama ilivyo kwa Mungu wa Israel. Zaidi ni ule tu, ushawishi mdogo usio na mpangilio maalumu ili kuteka fikra za mawakala wachache ambao ni wanufaika wa kutangaza habari zao kinyume na kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…