Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu unacho.ofcoz ila ilikua from my email inbox nikadownload kwenda kwenye pc lkn baada ya kukisoma nlipata hofu sana naweza kufikia sehemu nikawa kama walivyo atheists coz mule kuna practices na falsafa kibao ambazo mtu mwenye akili ndogo akikuona unafanya basi utaitwa freemason au mchawi kumbe sio.
Kuna mda nlikua nasikia nguvu fln hv nikiwa nakisoma sasa sijui ilikua ni illusion ama ubongo wangu ulikua unaspeculate hali ntakayokua nayo baada ya kufuata hizo practices
Ila akili iliporudi kwenye imani yangu mara ya pili nikaona bora nifute traces zake zote kuanzia email, local storage hadi trash bin coz nlijua namna kilivyokua addictive lazima ningekirudia. Japo hadi sasa najilaumu sana
Unajua unachoongea wewe?Jamaa kaingia mtini long time
Umeuliza ama umesemaUnajua unachoongea wewe?
Huoni kiulizo?Umeuliza ama umesema