SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Nishati ya nguvu ya ardhi na mbingu ndo unamaanisha au unampango wa kuzungumzia Universal law of world...
 
ofcoz ila ilikua from my email inbox nikadownload kwenda kwenye pc lkn baada ya kukisoma nlipata hofu sana naweza kufikia sehemu nikawa kama walivyo atheists coz mule kuna practices na falsafa kibao ambazo mtu mwenye akili ndogo akikuona unafanya basi utaitwa freemason au mchawi kumbe sio.

Kuna mda nlikua nasikia nguvu fln hv nikiwa nakisoma sasa sijui ilikua ni illusion ama ubongo wangu ulikua unaspeculate hali ntakayokua nayo baada ya kufuata hizo practices

Ila akili iliporudi kwenye imani yangu mara ya pili nikaona bora nifute traces zake zote kuanzia email, local storage hadi trash bin coz nlijua namna kilivyokua addictive lazima ningekirudia. Japo hadi sasa najilaumu sana
Kitabu unacho.
Kwa Mujibu wa Stori yako
 
Back
Top Bottom