SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Hapo kwenye kukifuta ulifeli sana, me nna kitabu kinaelezea namna ya kupractice all the witchcraft around the world, nacho kimekaa km academic paper, nlikisoma kidogo then nkaamua kuachana nacho ila skukifuta
Kilete mkuu,
 
Hapo kwenye kukifuta ulifeli sana, me nna kitabu kinaelezea namna ya kupractice all the witchcraft around the world, nacho kimekaa km academic paper, nlikisoma kidogo then nkaamua kuachana nacho ila skukifuta

Bring it
 
Mmm, me naona vitu kama hiv mkiwa mnaleta mada msifichefiche mambo na kuhitaji attention ya watu kuwaomba sana.
-
Mara "ayo sijaja kuyasema hapa watu wasije niwaza vibaya"

Mara "siyo mda wake kuyazungumzia hapa wata ni spot vibaya"

Chamsingi tililika vizurii eleza kila kitu watu wajue wajifunze wafurahi.

Kuwa kama YOGa kule dark day. Watu walienjoy na had leo uzi bado upo hewan.

Shida ya wa bongo sasa utasikia.
"Sijaja kuyasema hapa yote, mara nikisema hapa wengine mta tumia maharifa vibaya ndomaana had hao wazungu wanaamuwa kuwakazia kuwanyima PDF maana wanagundua roho zenu zime kaa hivi...

WENGINE MADA KAMA HIZ UWA KAMA TUMESHIKWA KIU YA MAJI YA WIKI NZIMA.
 
Shida ni pale mnapolazimisha hamjui watu tuna kazi za kufanya, na kiufupi hii story nilimaliza page ya kwanza kabisa.

Watu hamliziki, hata kwa hicho kidogo nilichosimulia kuna wengine wamejiongeza wakatafuta zaidi.

All in all nitaendelea ila sio directly sababu nilipewa warnings kwamba kuna mambo sio lazima kila mtu ajue especially kama baadhi ya info nilizotaka kudisclose hapa.
Sawa mkuu.
Bas shusha vitu watu tupate darasa huru maana siyo wote wanaweza download hizo ma PDF wanaepuka ma vocabular ya nger.

Af lete hzo nondo tuz cliam tutumie kudhohofisha mrad wa DP W. [emoji3][emoji3]. Sitanii
 
Nimefatlia kugoogle naona inanipeleka kwenye Chinese culture and beliefs..meditations za yoga etc and principles of Taoism.
Malizia ti tumsome guru...ingawa mafundisho na falsafa zao ni za kifalsafa zaidi...
 
Nimefatlia kugoogle naona inanipeleka kwenye Chinese culture and beliefs..meditations za yoga etc and principles of Taoism.
Malizia ti tumsome guru...ingawa mafundisho na falsafa zao ni za kifalsafa zaidi. Logic zaidi
 
Niliwahi Kusoma some articles concerning Human-Energies interaction ambazo ziko scattered around the Universe...Kwamba kiasili ni zinafanya Ku transform tu kwenye forms mbalimbali .Na Kwamba Vito/jewelry fields(Madini-mawe ya ardhini) Iko na Siri fulani Juu ya Mwanadamu na Universe Energies whether +Ve au -Ve.

Sasa long story short ni Kwamba Basics
Components za Creation ya Mwanadamu ni Hewa,Moto, Maji,Udongo na Spirit (although wengine hawaitaji sana). Hizo Components ukifanyia research ya kutosha utagundua how deeply Energy works with respect to Human life in General.


Still learning........ I'm Open to be corrected [emoji120]
 
Nahisi kujikonekti na hiyo energy lazima kutahusisha kanuni ya 'kwa haki kutowatenda wengine usiyotaka kutendewa na kuwatendea wengine unayopenda kutendewa na kutii lengo kuu la uwepo wetu.'

Mawazo yako maoni yako yasiwe ya kibinafsi ukiwaumiza wengine bali act kama vile unataka watu woote wafaidike na uwepo wako hapa duniani hiyo energy ni automatic utaiona maana naamini 'With great responsibility comes great powers' jay-millions

Hayo maneno yote kwa kifupi ni upendo
Wanasema upendo ndio nguvu pekee rahisi kuattract vitu vyote unavyo vitaka,zipo Nguvu aina nyingi ila hii ni baba lao
 
Safi natamani sana hizi spiritual power ,nimesoma nina master degree ,na kwa sasa ni mwanafunzi wa P.h.D ,but bado ninafanya kazi ya chini sana.

Reprogram your brain,elimu uliopata ndio kwanza imekuchosha akili yako haijaweza kukuinua utoke ulipo
 
Akili ya binadamu inauwezo mkubwa sana kuliko wengi wetu tunavyofikilia tujitahidi kusoma sana na bila kujali unakisoma nini. Namaanisha kama wewe Muislam usiogope kusoma vitu tofauti na Imani yako ndio maana mdau amefuta Kwa kuogopa Imani yake lakini now anajua kama Kuna kitu kapoteza.

Dini zote zina impose fear,huwa nadhani dini ziliundwa ili kupunguza hii nguvu ndani yetu,waliotuletea dini Inawezekana hawakutaka kuwe na watu wengi wenye uwezo wa kutambua nguvu za asili
Tena sisi blacks ndio tumekumbatia dini inatulemaza sana
 
Kuna energy watu wanakurushia ili kukuzuia katika Mambo mbali mbali. Muhimu kufahamu namna ya kuzitoa izo nguvu bila kuzuia. Vipi unaweza kushare izo Mbinu za kuondoa nguvu hasi ambazo watu uzirusha kwa wengine.

Hio energy no negative energy njia ya kuondoa ni kurise vibration zako uwe na positive energy ya kutosha automatically hio negative energy itatoka yenyewe
I have a testimony kwenye upande wa kurushiwa negative energy na kuipangua
 
Hayo maneno yote kwa kifupi ni upendo
Wanasema upendo ndio nguvu pekee rahisi kuattract vitu vyote unavyo vitaka,zipo Nguvu aina nyingi ila hii ni baba lao
Exactly

Na hii ndio pekee njia ya haki ya kutajirisha mtu. Kumfanya mtu awe mkuuu kwelikweli (a great person)
 
Back
Top Bottom