SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Sina kazi now boss naomba nitumie hicho kitabu naomba kaka au toa title tu mzee

Nakufuata dm kama vipi kaka 😁 tuongee biashara
 
Nahisi kujikonekti na hiyo energy lazima kutahusisha kanuni ya 'kwa haki kutowatenda wengine usiyotaka kutendewa na kuwatendea wengine unayopenda kutendewa na kutii lengo kuu la uwepo wetu.'

Mawazo yako maoni yako yasiwe ya kibinafsi ukiwaumiza wengine bali act kama vile unataka watu woote wafaidike na uwepo wako hapa duniani hiyo energy ni automatic utaiona maana naamini 'With great responsibility comes great powers' jay-millions
Yan Wewe ndo umeongea 🙌
 
kali linux unaongelea mambo mazuri na makubwa sana kwa wanadamu. Ningependa kusikia zaidi kuhusu namna ya kuondokana na kukataliwa au kushindwa mara kwa mara katika jambo. Sitajali ukini DM kwa maelezo zaidi.
 
Kali hii mada yako ni nzuri sana..ila umeiweka kwenye code sana nadhani uliwalenga watu flani tu...waicrack then discussion iendelee kwa pattern hiyo...

Ila ambacho nakuunga mkono sana ni suala la sumaku...sumaku au magnetism au pia electromagnetism inaendesha maisha ya viumbe wengi sana walio nje ya dunia..

Cha kushangaza bado duniani hatujawekeza sana kwenye hilo somo...ni pana sana..
Kwa hiyo tuwe tunatembea na vipande vya sumaku Ili kupata hiyo energy
 
Huu uzi namba uendelee mtoa mada siku ukiendelea ni tag pia Mwenyezi Mungu mwenye nguvu alie iumba dunia na vyote vilivyomo vyenye mwili na visivyo na mwili vyenye kuonekana na visivyoonekana akubariki sana akupe kila hitaji lako umuombalo uweze kufanikiwa kwa wakati barikiwa sana saana saana kama huto jali nipe jina la kitabu chochote mie nitakiweka hapa hata kama ni pdf nitaipata
 
Back
Top Bottom