maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
TunaisubiriI was naturally born with this kind of powers
What happened hii ni story ya siku nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TunaisubiriI was naturally born with this kind of powers
What happened hii ni story ya siku nyingine
Same here, nahisi Kama nimezipoteza ila Bado sija confirm vizuriI was naturally born with this kind of powers
What happened hii ni story ya siku nyingine
Sanaaaa. Halafu jamaa kapoteaInteresting
Yan Wewe ndo umeongea 🙌Nahisi kujikonekti na hiyo energy lazima kutahusisha kanuni ya 'kwa haki kutowatenda wengine usiyotaka kutendewa na kuwatendea wengine unayopenda kutendewa na kutii lengo kuu la uwepo wetu.'
Mawazo yako maoni yako yasiwe ya kibinafsi ukiwaumiza wengine bali act kama vile unataka watu woote wafaidike na uwepo wako hapa duniani hiyo energy ni automatic utaiona maana naamini 'With great responsibility comes great powers' jay-millions
dah! Mods kweli wametusikia malalamiko yetu. kali linux rudiiiikali linux njoo mkuu,moderators wametusikia,tunaomba urudi huku!
Mkuu! kama yale madini yako uliyowahi kutoa humuWeka pdf hiyo acha uchoyo
Kwa hiyo tuwe tunatembea na vipande vya sumaku Ili kupata hiyo energyKali hii mada yako ni nzuri sana..ila umeiweka kwenye code sana nadhani uliwalenga watu flani tu...waicrack then discussion iendelee kwa pattern hiyo...
Ila ambacho nakuunga mkono sana ni suala la sumaku...sumaku au magnetism au pia electromagnetism inaendesha maisha ya viumbe wengi sana walio nje ya dunia..
Cha kushangaza bado duniani hatujawekeza sana kwenye hilo somo...ni pana sana..