FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 1,916
- 3,850
- Thread starter
-
- #181
Mwisho wa mwezi tena? 🤣duuuh.! balaa zito..na zaidi mtunzi unajua sana hapa muendelezo tusubiri hadi mwisho wa mwezi..kwa utamu wa simulizi hii ni mateso kweli kusubiri muda mrefu..respect mtunzi
Roger that ✅Kaka una nafas yako taar katik hii Kaz 🙌🙌 usituweke sana walau once per week
👊Respect
Huku napitaga kimyakimya ila ni kama Dj kasusia shughuli au DHARURA🤣🤣😂😂😂🤣😂😂🤣😂🤣🤣😂Mkuu mhanuzi wangu njoo huku
Hata mimi naikubali sana hii hadithi kuliko ileMkuu FEBIANI BABUYA huku umetusahau Sana Mimi naipenda Sana hii simulizi kuliko hata Ile nyingine ila dah kama umeisusa hivi
Kumbe tuko wengi, naikubali mno hii simuliziHata mimi naikubali sana hii hadithi kuliko ile
Amani ya Bwana iwe naweLeo jioni ✍️✅
Jioni sio ndio hii lakini au bado haijafika?Kumbe tuko wengi, naikubali mno hii simulizi
😃Au sioJioni sio ndio hii lakini au bado haijafika?