Simulizi ya kijasusi: Nafsi zilizotelekezwa

Watu Kama hao wanakuwaga na sura ya upole sana!! Unaweza kuzan ni mtu flani wa dini sana
Yeah ni kweli...

Kuna mwanangu mmoja Mabibo hapo alitaka kujichanganya kwa baharia mmoja hivi mara ooh kama vipi tulibwage kwa sababu tu mwamba mstaarabu....

Kumbe yule mwana ana black belt ila mstaarabu sana, ni watu walikuja kumtonya kwamba wewe fala utakuja kufa sio mwenzako huyo...

Mpaka sasa naona Kawa na heshima, hakurupukii watu.
 
Uzi makini sana huu, raia wanaukubali mnooo,
Ishu ni huduma talajiwa;
Kuna mda mambo hayakuwa maazuri ila sasa naona siyo mbaya.🤝🤝🤝
Nilionaga hakuna engagement (likes, comments) nikaona Uzi umepotezewa hivyo nikaamua kuupiga chini.
 
Nimekuelewa mkuu, maana me mwenyewe kwa mda ule nilikuwa nafatilia kimyakimya👏👏👏.

Tokea Sasa tegemea comment kibao mkuu maana raia kama me wapenzi wa hizi kazi, wapo wengi naamini mwitikio utakuwa Bora zaidi ya Sasa.
 
Yeah ni kweli...

Kuna mwanangu mmoja Mabibo hapo alitaka kujichanganya kwa baharia mmoja hivi mara ooh kama vipi tulibwage kwa sababu tu mwamba mstaarabu....

Kumbe yule mwana ana black belt ila mstaarabu sana, ni watu walikuja kumtonya kwamba wewe fala utakuja kufa sio mwenzako huyo...

Mpaka sasa naona Kawa na heshima, hakurupukii watu.
Mi pia Kuna jamaa angu flani ni ostadhi mtu wa swala nyingi tu!!.. mstarabu kinoma

Dini anaijua halafu sio ile ya mihemko, ye Yuko very smart!!

ila upande wake wapili jamaa alipata mafunzo mengi sana!! Ikiwemo Ninjutsu yenyewe ya mkorea!! Anatembeza panga hatari!!

ila kitambo sana jamaa sijamwonaga alipoteaga tuu..
 
Nimekuelewa mkuu, maana me mwenyewe kwa mda ule nilikuwa nafatilia kimyakimya👏👏👏.

Tokea Sasa tegemea comment kibao mkuu maana raia kama me wapenzi wa hizi kazi, wapo wengi naamini mwitikio utakuwa Bora zaidi ya Sasa.
Shukrani sana sana mkuu
 
Mi pia Kuna jamaa angu flani ni ostadhi mtu wa swala nyingi tu!!.. mstarabu kinoma

Dini anaijua halafu sio ile ya mihemko, ye Yuko very smart!!

ila upande wake wapili jamaa alipata mafunzo mengi sana!! Ikiwemo Ninjutsu yenyewe ya mkorea!! Anatembeza panga hatari!!

ila kitambo sana jamaa sijamwonaga alipoteaga tuu..
Hahahah haya maisha yanahitaji kuishi kitaalamu sana kiongozi...

Kuna watu hawafai ila wapo low key sana.
 
Back
Top Bottom