Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

Ndio hapo Roma anapotuangusha yy yuko busy na michepuko watu wanataka kumtoa roho.
kinachompa jeuri ni kuwa hashindwi na kitu hata kitokee ghafla! Mambo yake mengi hayafanyi kwa mpango! Ila uzur at least anakuwa na historia nayo ndo maana mara nyingi ana shinda! Siku sauron anakapompa uchambuz uliokosewa ndo mwisho wa roma
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

uko makini sana.

Mimi kupitia hii simulizi nimegundua Moja Kwa Moja shetani ni mwanamke ama ana maumbo ya kike. Athena anataka ulimwengu umuabudi kama Mungu anayeonekana anafanya juu chini sayansi ishinde masuala ya Imani.

yote Kwa yote tunarudi kule kule kwamba Roma hayuko serious kabisa.

ila na kipande Cha Blandina kutaka kutolewa kafara na hao mafuremason kimeniumiza sana japo natumain mwanae kigundus ataenda iumkuja na kimnyanyua juu huyo rais wa Kenya na kumpa bonge la Buti huyu wa Tanzania.
 
Itabidi SinganoJr atauongezee Episode zingine hii inabdi tuipate hata mara 5 kwa week...!! Shida yy hajui kuwa watu wanamuandaa kupiga na Jeshi la Illuminate ila wenziwe wanajua anakitu muhimu wanataka kumuondoa ktk uso wa dunia ila yy anapambana kuzilinda mbususa zake hasa ya Edina. Lkn The Don si keshapata jiwe la Kimungu kutoka kwa Roma? sasa mboma bado yuko nae Lesi sana?
Ila Mzee Kweka na chama lake bado halijajulikana mpango wao Siku The Don akiwatambua ni shida. SinganoJr huko uliko embu tupia hata kakipande tukimbize weekend.
Watu machambua story halafu mwishoni mnaomb episode, safi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

uko makini sana.

Mimi kupitia hii simulizi nimegundua Moja Kwa Moja shetani ni mwanamke ama ana maumbo ya kike. Athena anataka ulimwengu umuabudi kama Mungu anayeonekana anafanya juu chini sayansi ishinde masuala ya Imani.

yote Kwa yote tunarudi kule kule kwamba Roma hayuko serious kabisa.

ila na kipande Cha Blandina kutaka kutolewa kafara na hao mafuremason kimeniumiza sana japo natumain mwanae kigundus ataenda iumkuja na kimnyanyua juu huyo rais wa Kenya na kumpa bonge la Buti huyu wa Tanzania.
Mkuu tangu lini mwanamke akawa mtu? Angalia terminology "woman" means wo - come from the word _"who" halafu "man" means "mtu" so mwanamke means " mtu gani" sasa jiulize . Hapa dunian kuna kiumbe aina ya "mtu gan"?
 
Huyo bi mkubwa atakula beto la kafara tu! Mwamba yupo lushoto mtae anakula mapeasi tu huko! Labda kama bimkubwa atachukulia kibabe ndo the eagle waliopo dar watakinukisha! Ila ngoja tuachane na prediction tupeleke maombi kwa singanojr atuonee huruma jumapili hii hapo baadae
Kesho weekend mambo mengi situlii
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

uko makini sana.

Mimi kupitia hii simulizi nimegundua Moja Kwa Moja shetani ni mwanamke ama ana maumbo ya kike. Athena anataka ulimwengu umuabudi kama Mungu anayeonekana anafanya juu chini sayansi ishinde masuala ya Imani.

yote Kwa yote tunarudi kule kule kwamba Roma hayuko serious kabisa.

ila na kipande Cha Blandina kutaka kutolewa kafara na hao mafuremason kimeniumiza sana japo natumain mwanae kigundus ataenda iumkuja na kimnyanyua juu huyo rais wa Kenya na kumpa bonge la Buti huyu wa Tanzania.
Roma ukitaka awe serious gusa usingizi wake [emoji1787]
 
Itabidi SinganoJr atauongezee Episode zingine hii inabdi tuipate hata mara 5 kwa week...!! Shida yy hajui kuwa watu wanamuandaa kupiga na Jeshi la Illuminate ila wenziwe wanajua anakitu muhimu wanataka kumuondoa ktk uso wa dunia ila yy anapambana kuzilinda mbususa zake hasa ya Edina. Lkn The Don si keshapata jiwe la Kimungu kutoka kwa Roma? sasa mboma bado yuko nae Lesi sana?
Ila Mzee Kweka na chama lake bado halijajulikana mpango wao Siku The Don akiwatambua ni shida. SinganoJr huko uliko embu tupia hata kakipande tukimbize weekend.
Jiwe la Kimungu sio moja , Athena hajapata lenye Nafsi ya Gaia , nitajitahidi kupost mara kwa mara kwa wiki
 
Usirias wa ROMA pale tatizo linaptokea unanfanya nifikiri kwamba uenda azikufanyika juhudi zozote na hades wa zamani za kumjuza kwamba yeye roma ni nani haswa!!
 
Back
Top Bottom