Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
kinachompa jeuri ni kuwa hashindwi na kitu hata kitokee ghafla! Mambo yake mengi hayafanyi kwa mpango! Ila uzur at least anakuwa na historia nayo ndo maana mara nyingi ana shinda! Siku sauron anakapompa uchambuz uliokosewa ndo mwisho wa romaNdio hapo Roma anapotuangusha yy yuko busy na michepuko watu wanataka kumtoa roho.