Simulizi ya kipelelezi: Idaiwe maiti yangu

Good
 
Mwanzo wa kujipalia makaa ya mawe...
 
Kazi kazini.... Respect mkuu
 
Wameyatimbaaaa
 
SIKU ZA MWISHO ✅ (GIZA LA MALAIKA)- THE DARKNESS OF AN ANGEL.....

Hii ni simulizi mpya ambayo inatoka tarehe 11 mwezi huu wa 3.....

Ni sehemu ya tatu na ya mwisho ya mwendelezo wa IDAIWE MAITI YANGU na SAFARI YA GAVIN LUCA (THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA)....

Humu utajua hatima ya familia ya GAVIN LUCA na mwanae wa pekee LIONELA na hatima ya zile nguvu zao.

Kwenye SAFARI YA GAVIN LUCA uliona JABARI akionekana msaliti, hivyo kama unataka kujua sababu nyuma yake kwamba kwanini alimsaliti mkewe wa ndoa? Basi hii ndiyo sehemu sahihi ya kupata majibu yako.

JABARI alituacha wote mdomo wazi baada ya kumuoa LIONELA kisha akaanza kuua familia ya LIONELA Lakini mkurugenzi wa shirika la kijasusi la Kenya (NIS) alikuwa na ajenda gani hatari kwa Tanzania na familia ya GAVIN LUCA? Jumuika nami ili uweze kupata majibu sahihi ✍️

Hili ni andiko langu la kwanza kwa mwaka huu tangu uanze hivyo tarajia kukutana na mambo mazito ndani yake.

Kwa wale ambao huwa wanapenda kuwa wa kwanza kusoma unaweza kuweka order yako mapema au kunitafuta mapema ili inavyotoka uwe wa kwanza kuweza kuisoma ✍️

Bux the storyteller

FEBIANI BABUYA ✅
 

Attachments

  • FB_IMG_1741158106381.jpg
    137.9 KB · Views: 1
Kumbe lionela ameshaolewa na hamsemi, ni wapi hii ilitumwa sijaiona?
 
Kumbe lionela ameshaolewa na hamsemi, ni wapi hii ilitumwa sijaiona?
Mpaka unamaliza hii simulizi utamsoma kwa kumuonja sana ✍️

Japo kuna watu wamemsoma sana huyo mwanamke na wanajua ni kiumbe cha namna gani kwenye THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA

GAVIN LUCA Mwenyewe alisema huyo atakuwa binadamu hatari kuliko yeye. LIONELA.
 
Sawa ngoja niingoje ☺️
 
mkuu umeniacha kidogo huyo LIONELA ni mke au mtoto wa Gavin Luka.?
 
mkuu umeniacha kidogo huyo LIONELA ni mke au mtoto wa Gavin Luka.?
1. IDAIWE MAITI YANGU
2. THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA (SAFARI YA GAVIN LUCA)- LIONELA
3. THE DARKNESS OF AN ANGEL (GIZA LA MALAIKA)- SIKU ZA MWISHO

Majibu yote yatakuwa humo ✅

1&2 zipo tayari tangu muda.

Namba 3 inatoka tarehe 11 mwezi huu wa 3 yaani jumanne ✍️
 
Kaka vipi mbona unaanza upimbi kaka??
 
Kaka vipi mbona unaanza upimbi kaka??
Huwa sio mtu ambaye napenda sana dharau au matusi....

So ukiona naleta upimbi upotezee Uzi huu, tafuta wale ambao wanakufurahisha mkuu.

Fanya maisha yawe rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…