the maxter
Member
- Mar 31, 2024
- 59
- 24
It's so sad to a president and her family membersHivyo ndivyo inavyo takiwa. Kazi ikiwa predictable sana Haina maana.
Unatakiwa kukutana na surprise ambazo hukuzitegemea.
Huo ulikuwa Moja ya mpango wangu wakati naiandaa. Nilijua kabisa kwamba kuna watu ambao mngetegemea wangemaliza mpaka mwisho lakini matarajio yanakuwa tofauti unavyozidi kwenda mbele.