Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Huu uzi ni mkali ila niseme tuu ule uzi wa Alen au zakaria mansour ni the best of all the time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana001. Apone aendelee kuokoa taifa
James anatia huruma
Sana
Tupo pamojaAsante sana,bado tunasubiri muendelezo
GEREZA LA HAZWA [emoji91]Huu uzi ni mkali ila niseme tuu ule uzi wa Alen au zakaria mansour ni the best of all the time
Nimesom Riwaya nyng hap JF lkn GEREZA LA HAZWA bro..!!! [emoji119][emoji119]GEREZA LA HAZWA [emoji91]
Respect sana mkuu. Mwezi wa 9 naandika kitabu; GEREZA LA HAZWA CHAPTER 2.
Nikiri kwamba ile simulizi niliandika kwa hasira sana.Nimesom Riwaya nyng hap JF lkn GEREZA LA HAZWA bro..!!! [emoji119][emoji119]
Yani,,, ikitoka tu bro..!!! Mm nanunua yt Naikubalii San[emoji119]Nikiri kwamba ile simulizi niliandika kwa hasira sana.
Naivutia Kasi siku nivurugwe nianze kuichora CHAPTER 2 yake.
🤣🤣🤣🤣 Safi sanaYani,,, ikitoka tu bro..!!! Mm nanunua yt Naikubalii San[emoji119]
MUNGU akubariki ndugu yanguYani,,, ikitoka tu bro..!!! Mm nanunua yt Naikubalii San[emoji119]
I'm speechless. Asante sana kwa appreciation mkuu, support yenu ni mhimu sana tuweze kulipeleka mbali hili gurudumu 👏Bro, Kwanza heshima yako kaka mkubwa!!? Kweny Life langu sijawahi kuona mtu anaweza kusimulia mapigano makali na yanayoeleweka Kama wew kaka!! We kweny Hilo ni Legend kaka! Then bro GEREZA la HAZWA ndo story ambayo nimekutana na watu wa kutisha sana duuh... Nimesoma story zako nying sana!! Bravo bravo
Nipo naifatilia yaratibu. Gereza la hazwa. 8kianza tyu chapter 2Nikiri kwamba ile simulizi niliandika kwa hasira sana.
Naivutia Kasi siku nivurugwe nianze kuichora CHAPTER 2 yake.
Utakuwa umetisha sanaNipo naifatilia yaratibu. Gereza la hazwa. 8kianza tyu chapter 2
[emoji91]Umekaa smart huu uzii
Shukrani sana mkuuPongezi nyingi kwako mwamba, hii simulizi nimeikubali sana maana iko very straight
Naam, pamoja sana mkuuKesho tunaianza wikiendi hivyo nitaleta episodes 5 za simulizi hii ili mkomae nazo.
Lakini kesho hiyo hiyo tunaianza simulizi mpya ambayo inaitwa BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
Naomba support yako kubwa ya likes, comments pamoja na support ya kununua ikikupendeza ili tuendeleze gurudumu hili pamoja.
See you tomorrow [emoji872]
CIAOView attachment 3016756
🤝Naam, pamoja sana mkuu