Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngorongoro sio hifadhi ya Taifa mkuu...Kwa hiyo kama ngorongoro sio hifadhi ni nn? Au ni bahari? Shule za kata zinaharibu watoto wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
duh..ana ulemavu?
Yes... Ndo maana nmeon huyu dada ni shujaa sana. Angalia picha zake alizosimama mguu mmoja unaonekana kabisa mfupi kuliko mwingine.
Umeona Vibaya kiongozi...
😂😂😂Kuna viumbe mnajua kukagua picha imebidi niludi tena kuangalia.
Sina ulemavu wowote ndugu yangu. Pozi tu la picha hilo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Story yetu vipi?Sina ulemavu wowote ndugu yangu. Pozi tu la picha hilo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sina ulemavu wowote ndugu yangu. Pozi tu la picha hilo
Sent from my iPhone using JamiiForums
BADO MKUU TUSUBIRIHivi kileleni ameshatufikisha au ndo tunaendelea kusubiri?
Mie nakwambia nililia, nilivyomfikiria mtoto wangu, nikiangalia juu pale watu wanavyohangaika kupita kwenye jiwe....nikajiuliza hivi nimefuata nini huku, acha nimwage machozi[emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu sio kweli sio mimi ungekuwa unanijua hata kwa picha ningeandika umefananisha sio mimi.Nakujua mdada,uko DSM mbezi Luis ..jina lako ni Irene Paul mbesigwe acha hizo...
Sent using Jamii Forums mobile app
OK ila huyo sio mimiMimi naitwa ustadhi Ikiriri Mrutu from bagamoyo@ makazi mafia na kilwa masoko
Ni mchuuzi wa kati wa samaki wabichi/wakavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana kwenye safari ya Kili challenge ndio kuna mtu alifariki eeh?hapa ni few mita kabla ya barafu camp,kuna view nzuri sana watu wanapiga picha,nilipanda mwaka jana na ile geita kili challenge,sikufanikiwa kufika uhuru,muda wa kwenda summit,oxgen yangu ilienda low to 47% mzungu 1 akaniambia haitakiwi kuwa below 80% nikajishukia sikutaka kurisk but i was there ningekomaa 6 hrs tuView attachment 982662
Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi na mafua nadhani siyo watu marafiki kabisa na kule baridi siyo la kuuliza na kwa sasa sijajua barafu inaanzia wapi maana unakutana na mvua ya barafu iyo barafu ikikugusa kwenye ngozi ni kama umegusa moto inachoma achana na hii barafu unayokutana nayo kwenye fridge haina makali sana ila kama unaweza kupanda ukiwa hauna mafua dats goodSawa mkuu.
Watu wanaosumbuliwa na mafua mara kwa mara wakipanda hali ya hewa inayobadilika haitawasumbua?
Sent using Jamii Forums mobile app