Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh, ama kweli JF ni shule
 
hapa ni few mita kabla ya barafu camp,kuna view nzuri sana watu wanapiga picha,nilipanda mwaka jana na ile geita kili challenge,sikufanikiwa kufika uhuru,muda wa kwenda summit,oxgen yangu ilienda low to 47% mzungu 1 akaniambia haitakiwi kuwa below 80% nikajishukia sikutaka kurisk but i was there ningekomaa 6 hrs tuView attachment 982662

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana kwenye safari ya Kili challenge ndio kuna mtu alifariki eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee si mchezo kweli mlipata tabu sana yaani BARAFU/SNOW kama YOTE VILE,Picha nyingi hiko kibao kinaonekana vizuri ila kwa nyie hadi nguo zimeganda.
BARAFU.jpg
 
Sawa mkuu.
Watu wanaosumbuliwa na mafua mara kwa mara wakipanda hali ya hewa inayobadilika haitawasumbua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi na mafua nadhani siyo watu marafiki kabisa na kule baridi siyo la kuuliza na kwa sasa sijajua barafu inaanzia wapi maana unakutana na mvua ya barafu iyo barafu ikikugusa kwenye ngozi ni kama umegusa moto inachoma achana na hii barafu unayokutana nayo kwenye fridge haina makali sana ila kama unaweza kupanda ukiwa hauna mafua dats good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom