Shimba Jr
Senior Member
- May 23, 2018
- 147
- 99
Mkuu usibishe kwa mambo usiyoyajua.
Narudia tena Ngorongoro siyo Hifadhi ya Taifa bali ni mamlaka ya uhifadhi.
Hifadhi za Taifa ni Ruaha, Tarangire, Serengeti, Saadani, Rubondo, Mikumi, Katavi, Kitulo, Saanane, Kilimanjaro, Manyara, Gombe, Mahale, Udzungwa na Mkomazi.
Nikutoe ujinga tu huwa tuna:-
Hifadhi za Taifa
Mamlaka ya uhifadhi
Mapori ya akiba
Maeneo oevu
Mapori tengefu na vingine vingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, ama kweli JF ni shule