Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Mi niko vzr nnapumzi za kutosha kabisa wewe anza kabisa zoezi la kupandisha milima ya uluguru ili tukienda kilimanjaro nikufikishe kwe kilele cha kibo.

Maendeleo hayana chama


hahahhahaa haya bwana... tupande mlim tuliletee Taifa letu pesa...ili mabeberu yasije tupangia mambo ya kufanya
 
Hongera kwa udhubutu,nimefuatilia sana Uzi wako na naendelea kufuatilia,nimeona weaknesses zako pia zakupanda mlima nazifahamu.
Nilisomea hayo mambo ya wanyamapori&utalii na guides,nadhani siku zijazo naweza kukusaidia,pia kutoa ushauri kwa yeyote kuhusiana na utalii.
Mwaka2016 nipanda mlima Kilimanjaro niliamua kupanda kama pota /mgumu kwa moshi huita .kuna mambo huko mlimani na vituko.
Mimi ni mvivu wa kuandika mnisamehe.
 
hahahhahaa haya bwana... tupande mlim tuliletee Taifa letu pesa...ili mabeberu yasije tupangia mambo ya kufanya
Sio pesa tu na raha pia tunapata
Mi napenda sana utalii wa ndani tena utalii unaofikisha kileleni yaani kule juu kabisa.

Maendeleo hayana chama
 
Nakufatilia ana kwa ana. Nimepanda sana mlima since nimemaliza six. Kiingereza kilikua kinatoka kwenye meno yangu. Nikajichanganya na maguide, mmoja rasi akanichukua. Nilikua napiga sana pesa. Wazungu wakawa wanachukua namba zangu aisee, hadi leo sijawahi kwenda nje ya inchi ila itakua haikupangwa na Mungu kwa mimi kwenda nje ya nchi manake kila kitu kilikua nje nje, nikiwa kule mlimani nikapata taarifa nimepata chuo mlimani. Nikatoroka wazungu nikarudi chini(duniani) tangu siku hiyo sijawaza tena wazungu na niliposoma nawachukia wazungu hadi leo. Namshukuru Mungu maisha yangu safi na nawaona wazungu ni sawa tu na mimi kila kitu.
Ila mlima una maajabu sana. Nimepanda mara 11 nimefika kileleni mara nne ila sikuwahi hata siku moja kuacha kushangaaa kule juu, kila siku ni siku ya kushangaa achilia mbali msitu na yale mawe kuna barafu pale juuu zimejipanga kama maua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…