Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Kiasi gani mlitumia ktk safari nzima?
 
Siku moja twende mimi na wewe achana na hao wafanya kazi wenzako.
 
Hiyo hamu hata haipo... Mimi sikuwazia kabisa mambo ya kugegedana.

Halafu kupanda sio mazoezi saaana na stamina pia ya mwili kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa. Si waona yule mwarabu fighter hajafika kileleni na ubaunsa wake wote
 
Kila nikifikaga Marangu Forest huwa napata mzuka wa kupanda Kilimanjaro halafu unapotea. Nadhani mkipanda nyinyi inatosha. Kingine sijawahi kuona porter wa kike kwanini?
 
Mimi nilipanda 2003 wakati ule kuanzia mandara hapo hamuonani kwa ukungu kwa sababu ya baridi kali anyway nimeplan kwenda kupanda hadi kileleni enzi zile nilimpa kampani mchumba wa mama yangu mdogo(mzungu mzee) ambae vipimo vilionesha haruhusiwi kufika mbali kwa sababu ya umri wake.Kingine nilibahatika kuandika jina langu kwenye li mti limoja ambalo watu wengine waliacha machata
Hiyo hamu hata haipo... Mimi sikuwazia kabisa mambo ya kugegedana.

Halafu kupanda sio mazoezi saaana na stamina pia ya mwili kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa. Si waona yule mwarabu fighter hajafika kileleni na ubaunsa wake wote
 
Fred jamani Fred naona ulipofika Zebra Rock FRED akakumbatia anyway just jokes vipi gharama ya kupanda ya safari nzima inaweza ikawa kama ngapi?
Hiyo hamu hata haipo... Mimi sikuwazia kabisa mambo ya kugegedana.

Halafu kupanda sio mazoezi saaana na stamina pia ya mwili kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa. Si waona yule mwarabu fighter hajafika kileleni na ubaunsa wake wote
 
Siku moja twende mimi na wewe achana na hao wafanya kazi wenzako.

Woow!! I'd love it, tupange twende mie nnavopenda maadvencha eehehehee ila nikianza kukata pumzi ujiandae kunibeba si ujajua uzee tena heheheheee.

Kasinde Mahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…