Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro



Na hiyo ndio sababu kuu ilinifanya nichukue maamuzi ya kupanda huo mlima. Kama ntaweza kupanda, ntaweza kufanya jambo lolote hata liwe gumu ntapambana nalo tu. Ilifika mahali nikachoka sana, nikasema nikirudi bila kufika kwenye kilele cha mlima, ntasingizia kitu gani sasa, siumwi, kama ni uchovu wote tunaupata, nikajipa moyo kuendelea na safari.
 
Eh eh maguide huwa wanabebaga sana madem wa kizungu ..,,,kwe hizo emotional distress nakumbuka mi nlimtoa sana jamaa nliekuanaye mpunga tuliposhuka
 
Hivi kuna rekodi wanakufa wapajdaji wangapi kwa mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nlifika gilmans point..naambiwa hamna mhindi ashawahi papita nshachoka mbaya kama napanda ngazi ghorofa ya 100 dah ila guide na zile energy drink zilikua zinanipa nguvu kama popeye yaani..ukipiga maenergy na glucose unasimama mbele hatua kadhaa nguvu imekata dah...ila nlifika aisee...toka hapo sijawahi ogopa assignment kwe maisha hadi ofisin hawanielewi...mi kila kazi lete tu
 
Kwa nini wanapanga mawe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana, mimi nilipitia Umbwe route ila nilipofika Barranco Camp uzalendo ukanishinda na nilibakiza vituo viwil tu yaani Karanga camp na Barafu Hut.... [emoji1482][emoji1482]
 
tupe stori mkuu hilo jiwe la kubusu ndo likoje, ukifika unalibusu au ndo nini?
Yaani Kuna mahali unafika huko juu njia imebana na unapita sehemu ambayo unapiga mgongo korongo na unakumbatia jiwe au mwamba ili uweze kupita hiyo sehemu ....hii nilihadisiwa na guide japo sijapanda huo mdude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana, mimi nilipitia Umbwe route ila nilipofika Barranco Camp uzalendo ukanishinda na nilibakiza vituo viwil tu yaani Karanga camp na Barafu Hut.... [emoji1482][emoji1482]
Barafu mkifika hiyo saa kumi kumi na moja mnakula then mnaambiwa mlale, safari ya summit inaanza saa tano usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…