Furaha ya mume wa mtu unaitakia nini?Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Ili akitaka kutoka mumtupie tena majin cyo? Labda aende orlando au mmamelodView attachment 3315709come back home brother....
Aje aishie makundi 😀View attachment 3315709come back home brother....
Una hela ya kumlipa!?View attachment 3315709come back home brother....
Very true..Jamaa anapata maokoto ya kutosha ila wenzake hawampi heshima anayostahili. Si mara moja nimeona anafunga goli wenzake wanamkimbilia aliyetoa assist.
Mimi ni mmoja wa watu ambao sikutegemea kama angefanikiwa sana kwenye ligi ya Misri ila ameniprove wrong. Big up kwake.
Siku hizi hafungi sana magoli ya kukimbia na mpira ila anajua kama striker akae wapi ili mipira inayozagaa anafanya tu kumalizia.
Furaha ajipe mwenyewe, watu wako busyNa Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Still a talent.Facial expressions...
Heshima kwa waarabu!!? Unaujua vilivyo mpira (soka) la waarabu? Ni wabaguzi sana waarabu kama hujawajuaSi kweli. Anastahili Heshima.