Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Keshakaa two years
 
Nimekwambia lete clip inayoonesha hicho unachosema? Mayele aliwekwa benchi kipindi Anacheza Ibrahim Adel (ana goli tano mechi 4 CCL) kama striker pekee. Sasa hivi wanacheza double.
Zitafute hizo clip mwenyewe au subiri fainali
 
Huko hakuna wa kulipa mshahara pyramid wanalipwa viziri kuliko pirates na wachache wanalipwa viziri mamelod ,akienda ahly sawa ila ubaguzi ni mkubwa
Kama hela inaingia shida ipo wapi? La muhimu awekeze kwenye vitega uchumi endelevu
 
Mimi after fulltime nimejiuliza mbona camera hazimuoneshi aliyeamua mechi--- labda alienda changing room🤣-- sema apige kibunda tu hili ni la msingi sana
Camera si watu waliopewa tenda ya kurusha mpira na CAF? Sio Pyramids
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom