Ingieni instagram ya Pyramids muone anavoshangiliwa na wenzake.Baada ya kutupia goli la 3.Walio wengi waliosema hana furaha ingieni kwenye hiyo Instagram ndio mtapata ushahidi kwamba wengi walio comment ni wafuata mkumbo au wazushi tu.Mayele anajituma sana kwenye mechi zote anazocheza akiwa Pyramids.Mtu asiye na furaha asingejituma angengoja tu mshahara wake mnono.
Tujikumbushe analipwa dola 40000 kwa mwezi.
Tujikumbushe analipwa dola 40000 kwa mwezi.