Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Mimi after fulltime nimejiuliza mbona camera hazimuoneshi aliyeamua mechi--- labda alienda changing room🤣-- sema apige kibunda tu hili ni la msingi sana
 
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.

Ukitaka kujua mtu mweusi ni mbaguzi japo sio wote, zinapokutana timu za waarabu na waafrika, asilimia kubwa ya watu weusi watashabikia weusi wenzao, na huu ndio ukweli, na huu ndio ubaguzi, chuki na roho mbaya. Hata wewe hapo unaejiita blogger ulikua unashabikia Pyramids kwa sababu tu ya Mayele, au nimekosea kamanda 😃
 
Zinapokutana timu za Waarab na Waafrika, Waarab hushangilia timu zipi?
 
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Muda ndio huamua kila kitu,sasa je bado huamini?
 
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Kwani miaka 2,tayari?, ila siku hazigandi
 
Unamjua flavio? Kacheza al ahly misimu mi4,
Tunajua waarabu wabaguzi lakini kwa kazi nzuri hawana namna wataishi nae kibishi tu, kuondoka mayele pale ni aidha kiwango kishuke ama watu wenye hela zaidi wapeleke ofa nzuri, hivi hivi pyramids hawawezi kuiacha ile dhahabu.
Bonge moja la striker.
 
Maokotonyo yasome tuu

images%20(14).jpg
 
Back
Top Bottom