Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.

Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
 
Jamaa anapata maokoto ya kutosha ila wenzake hawampi heshima anayostahili. Si mara moja nimeona anafunga goli wenzake wanamkimbilia aliyetoa assist.

Mimi ni mmoja wa watu ambao sikutegemea kama angefanikiwa sana kwenye ligi ya Misri ila ameniprove wrong. Big up kwake.

Siku hizi hafungi sana magoli ya kukimbia na mpira ila anajua kama striker akae wapi ili mipira inayozagaa anafanya tu kumalizia.
 
Very true..
Uko makini sana bro..
He is not happy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…