Mimi after fulltime nimejiuliza mbona camera hazimuoneshi aliyeamua mechi--- labda alienda changing room🤣-- sema apige kibunda tu hili ni la msingi sanaNa Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Per mwezi au mwakaAnalipwa million 98
Hapa kwetu hakuna timu inamlipa hiyo fedha
Acha apate pesa kijana wetu
Kwa mwezi hapo Bado bonusesPer mwezi au mwaka
hapa avumilie tu mkuu mpaka atakapoona hawezi tena 🤣Kwa mwezi hapo Bado bonuses
HApa tunakumbuka malalamiko kama yale ya kwa percy tau -- al ahlyNiliumia sana.
Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Zinapokutana timu za Waarab na Waafrika, Waarab hushangilia timu zipi?Ukitaka kujua mtu mweusi ni mbaguzi japo sio wote, zinapokutana timu za waarabu na waafrika, asilimia kubwa ya watu weusi watashabikia weusi wenzao, na huu ndio ukweli, na huu ndio ubaguzi, chuki na roho mbaya. Hata wewe hapo unaejiita blogger ulikua unashabikia Pyramids kwa sababu tu ya Mayele, au nimekosea kamanda 😃
Muda ndio huamua kila kitu,sasa je bado huamini?Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Kwani miaka 2,tayari?, ila siku hazigandiNa Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
Muulize WAKATI morroco inaingia nusu fainali captain wao aliongea nini.Watu hujitoa akili tu.Zinapokutana timu za Waarab na Waafrika, Waarab hushangilia timu zipi?
Kumlipa ni maelewano ambayo yeye mwenyewe anaweza kubali lakn kuvunja mkataba ndio kipengeleUna hela ya kumlipa!?
Atoke kule arudi kwenye takataka?nye mlikuwa njia tuView attachment 3315709come back home brother....
ndio maana miqueson alirud kweny takatakaAtoke kule arudi kwenye takataka?nye mlikuwa njia tu
Alifeli Misri,mayele hajafelindio maana miqueson alirud kweny takataka