unge attach link mkuuIngieni instagram ya Pyramids muone anavoshangiliwa na wenzake.Baada ya kutupia goli la 3.Walio wengi waliosema hana furaha ingieni kwenye hiyo Instagram ndio mtapata ushahidi kwamba wengi walio comment ni wafuata mkumbo au wazushi tu.Mayele anajituma sana kwenye mechi zote anazocheza akiwa Pyramids.Mtu asiye na furaha asingejituma angengoja tu mshahara wake mnono.
Tujikumbushe analipwa dola 40000 kwa mwezi.
Hata hawa akna LEEDS wanaopanda daraja angeweza kucheza, yule sio wa championshipKama sio umri jamaa angepata timu ulaya.,,,,mathalani ubelgiji huko, France championship n.k
Ingieni instagram ya Pyramids muone anavoshangiliwa na wenzake.Baada ya kutupia goli la 3.Walio wengi waliosema hana furaha ingieni kwenye hiyo Instagram ndio mtapata ushahidi kwamba wengi walio comment ni wafuata mkumbo au wazushi tu.Mayele anajituma sana kwenye mechi zote anazocheza akiwa Pyramids.Mtu asiye na furaha asingejituma angengoja tu mshahara wake mnono.
Tujikumbushe analipwa dola 40000 kwa mwezi.
kama ni hivi safi ---- sisi mashabiki wa kwenye TV -- kiukweli tulistuka hatuoni kwenye luninga --- tukachomoka na malalamiko yetu.... broadcasters wametuingiza mkenge na tukajaa 🤣
Imewekwa.Watanzania wengi wanapenda lawama na uzushi.Wanaimba "onesha upenda"Huku wamemkumbatia Mayele.unge attach link mkuu
mkuu mashabiki walikua wanataraji kumuona mayele hasa fulltime pale mkuu --- wengi hatukumuona mkuu broadcasters wametufelishaWale wazushi sijui wanajisikiaje?Kuleta uzushi.
Aisee! Kumbe?Moja ya kipaji alichonacho Mtanzania ni uwezo wake wa kuona yanayoendelea moyoni mwa mtu.
nimeona sasa mkuuImewekwa.Watanzania wengi wanapenda lawama na uzushi.Wanaimba "onesha upenda"Huku wamemkumbatia Mayele.
Mtoa mada itakuwa ni mkristo maana hawa kwa kuchokonoa mambo hawajambo wapi mayele ameandika hana furaja pyramid na ndio chanzo cha kuanza matusi tusubir tuuonaJamaa anapata maokoto ya kutosha ila wenzake hawampi heshima anayostahili. Si mara moja nimeona anafunga goli wenzake wanamkimbilia aliyetoa assist.
Mimi ni mmoja wa watu ambao sikutegemea kama angefanikiwa sana kwenye ligi ya Misri ila ameniprove wrong. Big up kwake.
Siku hizi hafungi sana magoli ya kukimbia na mpira ila anajua kama striker akae wapi ili mipira inayozagaa anafanya tu kumalizia.
Watanzania wana nongwa sana. Weka clip kuwa amefunga halafu wenzake hawashangilii nae.Jamaa anapata maokoto ya kutosha ila wenzake hawampi heshima anayostahili. Si mara moja nimeona anafunga goli wenzake wanamkimbilia aliyetoa assist.
Mimi ni mmoja wa watu ambao sikutegemea kama angefanikiwa sana kwenye ligi ya Misri ila ameniprove wrong. Big up kwake.
Siku hizi hafungi sana magoli ya kukimbia na mpira ila anajua kama striker akae wapi ili mipira inayozagaa anafanya tu kumalizia.
Unachobisha ni nini? Mayele anawabeba sana ila hawajampa ule ufalme kama aliokuwa nao alipokuwa Yanga. Kuna kipindi kocha alimkataa hata kupata namba ikawa mtihani. Pyramids bila Mayele ni kama Al Masry tu.Watanzania wana nongwa sana. Weka clip kuwa amefunga halafu wenzake hawashangilii nae.
Nimekwambia lete clip inayoonesha hicho unachosema? Mayele aliwekwa benchi kipindi Anacheza Ibrahim Adel (ana goli tano mechi 4 CCL) kama striker pekee. Sasa hivi wanacheza double.Unachobisha ni nini? Mayele anawabeba sana ila hawajampa ule ufalme kama aliokuwa nao alipokuwa Yanga. Kuna kipindi kocha alimkataa hata kupata namba ikawa mtihani. Pyramids bila Mayele ni kama Al Masry tu.
Hata kutetema anatetema mwenyewe!