Keshakaa two yearsNa Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted.
Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
yale majini mmeyafukuza?View attachment 3315709come back home brother....
Zitafute hizo clip mwenyewe au subiri fainaliNimekwambia lete clip inayoonesha hicho unachosema? Mayele aliwekwa benchi kipindi Anacheza Ibrahim Adel (ana goli tano mechi 4 CCL) kama striker pekee. Sasa hivi wanacheza double.
Aiseeeee wana JF na majibu yenu. 😁😁😁😁Furaha ya mume wa mtu unaitakia nini?
Mamelodi watamtandika risasi. Wasauz si watuAende ulaya au mamelody
Huko hakuna wa kulipa mshahara pyramid wanalipwa viziri kuliko pirates na wachache wanalipwa viziri mamelod ,akienda ahly sawa ila ubaguzi ni mkubwaIli akitaka kutoka mumtupie tena majin cyo? Labda aende orlando au mmamelod
Kama hela inaingia shida ipo wapi? La muhimu awekeze kwenye vitega uchumi endelevuHuko hakuna wa kulipa mshahara pyramid wanalipwa viziri kuliko pirates na wachache wanalipwa viziri mamelod ,akienda ahly sawa ila ubaguzi ni mkubwa
Hahaha, ushabiki huu.Analipwa million 98
Hapa kwetu hakuna timu inamlipa hiyo fedha
Acha apate pesa kijana wetu
Camera si watu waliopewa tenda ya kurusha mpira na CAF? Sio PyramidsMimi after fulltime nimejiuliza mbona camera hazimuoneshi aliyeamua mechi--- labda alienda changing room🤣-- sema apige kibunda tu hili ni la msingi sana
yeah limeeleweka vyema hiliCamera si watu waliopewa tenda ya kurusha mpira na CAF? Sio Pyramids
Vijana wa Muddy (57) mme wa bi.aisha(6) wao mwarabu ni kila kitu kwao.Zinapokutana timu za Waarab na Waafrika, Waarab hushangilia timu zipi?