Sina chuki na Wakenya ila nimejifunza haya katika kufanya nao kazi

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side.

2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane
3. Wanaroho mbaya ya uchoyo
4. Mbali na kingereza, hawako smart sana kama inavyofikiriwa

5. Wanapenda mambo ya kulinganisha hasa mambo ya kimaendeleo.

6. Wakenya wakiume walipata nafasi kidogo ni waxhafu sana kwa dada zetu
7. They like show off, wanapenda kujionesha kua wao wema na wanafanya kazi

Prove me wrong from your work place
 
Mwanangu una pwenti. Kimsingi, wakenya walio wengi wana roho nyepesi, mbaya, chafu, waroho, wachovyo, wabinafsi na wasio na utu hata kidogo. Hata hivyo, wapo wakenya safi kabisa hasa wale waliookolewa na Tanzania wakati wakikimbia uimla wa Moi. Pia wanapenda kujipendekeza kwa management na watu wenye fedha. Hiyo ndiyo legacy ya muingereza kuwakalia sana. Kwa Tanzania naona tunaokaribiana nao ni Wamalawi, Zambia na Uganda waliobaki makapi.
 
kaka wa zambia wana roho mbaya sana
 
😄😄😄 Waganda?Yaani katika watu hatufanani nao kwa chochote ni waganda na hata ukikutana nao nje ya nchi hawataki shobo na wabongo wala watu wengine wa E/Africa ni waganda.
 
1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side.

2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane
3. Wanaroho mbaya ya uchoyo
4. Mbali na kingereza, hawako smart sana kama inavyofikiriwa

5. Wanapenda mambo ya kulinganisha hasa mambo ya kimaendeleo.

6. Wakenya wakiume walipata nafasi kidogo ni waxhafu sana kwa dada zetu
7. They like show off, wanapenda kujionesha kua wao wema na wanafanya kazi

Prove me wrong from your work place
Wanafanana na ndugu zetu fulani hapa Tanzania. Na wao mtu Kama ni mkikuyu akafanya Jambo kubwa yaani wakikuyu watajisifu kuwa wao Wana akili Sana kuliko wakenya wengine i.e wakalenjin,kamba, taita,jaluo, kisii etc.
Yaani mie siku nilipodharau kuwa English sio chochote ni pale fomu wani tumefika,Kuna waliotoka English medium na mie Swahili medium, yaani iyo2 English waliyozaliwa nayo nikawa nawapelekesha mbaya Sana.
Kuna jamaa akasomea Uganda alidisco second year na English alikuwa anajua.
Watanzania tuko poa sema we're undervalued ourselves
 
Back
Top Bottom