Sina chuki na Wakenya ila nimejifunza haya katika kufanya nao kazi

1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side.

2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane
3. Wanaroho mbaya ya uchoyo
4. Mbali na kingereza, hawako smart sana kama inavyofikiriwa

5. Wanapenda mambo ya kulinganisha hasa mambo ya kimaendeleo.

6. Wakenya wakiume walipata nafasi kidogo ni waxhafu sana kwa dada zetu
7. They like show off, wanapenda kujionesha kua wao wema na wanafanya kazi

Prove me wrong from your work place
mkuu nakubaliana na wewe kwny 1,2 na 3 zingine sina uhakika lkn pia umesahau kuwapa sifa yao nyingine ambayo mimi naiona ni sifa kuu ya msingi inayotutofautisha na sisi TZ, wenzetu wanauthubutu mkubwa klko sisi bado tumelala. Basi na tuwape credit ktk hili la uthubutu.
 
Nimefanya kazi kwenye taasisi mbili zilizokuwa na wakenya kadhaa, sizungumzii ushabiki au utaifa usio na ukweli.
Wakenya na sisi ni tofauti Sana kwenye suala la uwajibikaji, seriousness na punctuality. Sisi wabongo ni Watu wa "laissez faire" ukipewa uongozi mahali Hata wakiiba Poa tu, wakizembea Poa tu, wasipokuja kazini Poa tu, wakenya Hawana hiyo, watakomaa na ww ndio maana tunawaona wanazingua

Binafsi Mungu akinipa utajiri hata wa kumiliki hotel tu manager naajiri mkenya au muhindi, acha sisi watoto wa Nyerere tuendelee na sinema za Gwajima vs Bunge
 
wakenya wapo kama wazanzibar. ogopa kuwa rafiki na mzanzibar ukamtegemea kwa jambo lolote
Sitowasahau wapemba asee......
Wakati nipo mwaka wa kwanza, Somo la Eng Drawing nilimuomba anisaidie kuchora.
Michoro ni ya kuchora kwa rula, jamaa yule alichora free hand, na mimi bila kujua nikakusanya hivyo hivyo, naingia kupresent michoro (UE) nakuta michoro ni free hand, asee nilichoka.
 
Wa Kenya wazee wa kujipangusia makaratasi wakienda haja...

Kenya wanakula mboga za majani kuanzia asubuhi mpaka usiku... njaa kali asikudanganye mtu, east africa hakuna mtu anakula ugali kama hawa viumbe... hasa kuna kabila wanaitwa waluya wazee wa mkombero...

Wanawake(middle class) wa kikenya papuchi zinatema(uchafu) ni ni tofauti kabisa na pisi za Tz...

Ni wapenda sifa na huwa wanawaona wa Tanzania wanawazidi elimu(wanadanganyana)

Wanawake wa Kenya hawajui kupika... ni zero... wanapika chapati mpaka kwenye sherehe, chapati zenyewe hawajui kupika...

Nyumba zao wamebana vyumba, yaani vyumba vidooogo kwa sababu ya uhaba wa ardhi, kumiliki ardhi kenya we ni tajiri... tofauti na kwetu kijana ana miaka 25 au 30 ana maekari ya ardhi...

Wa Kenya huwa wanajiona halafu huwa hawajui tu wa Tanzania tupo vipi, mfano wanajua wana jeshi bora, maisha bora, elimu bora na kila kitu hata miundo mbinu kuliko nchi zote EA... ambacho hawajui ni kwamba ile kuongea tu Swahili ambapo chimbuko ni hapa Tanzania, tayari tumewapiga a biiigg middle finger, yaani sisi ni kama tumewatawala kiutamaduni, angalia hata kimuziki wanatuiga sisi, sisi hatuwa copy wao ... huwezi sikia hata siku moja UAE wanajitapa mbele ya USA au UK kwamba wanawazidi magorofa cause mbabe ni mbabe tu licha ya mapungufu yetu but Tanzania ina historia pana sana, vita harakati za ukombozi n.k....

Kenya zaidi ya riadha na kiingereza chenye lafudhi ya kijaluo hawana jipya... nikosoeni kama nasema uongo ndugu zangu....

Kuna mzee mmoja nilikutana nae barbershop Kenya, katika story nikamsikia anasema eti "in east Africa hakuna watu wanaweza vita ya face to face kama wa Kenya", nikamtolea uvivu nikamwambia "mzee Kenya hata historia ya kuwa vitani hamna, hakuna experience yeyote Kenya mnayo ya kuingia vitani" yule mzee akakausha...

Hizi energy drink za bakhresa Kenya hakuna kiwanda wameweza kubuni, wameiga sana mpaka chupa lakini kwenye taste wana fail na wanakiri viwanda vya Tanzania bidhaa zao ni the best, trust me i have been there na siongelei chuki... hata soda wanasema za Tz zina taste vizuri....

Kenya ujanja ujanja mwingi..., imefikia hatua wanasema kiswahili chimbuko ni kwao(ihiiiiiiiiiiiiii (in JPM voice))....
 
1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side.

2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane
3. Wanaroho mbaya ya uchoyo
4. Mbali na kingereza, hawako smart sana kama inavyofikiriwa

5. Wanapenda mambo ya kulinganisha hasa mambo ya kimaendeleo.

6. Wakenya wakiume walipata nafasi kidogo ni waxhafu sana kwa dada zetu
7. They like show off, wanapenda kujionesha kua wao wema na wanafanya kazi

Prove me wrong from your work place
Nimefanya kazi sehemu mbili na Wakenya pamoja na Waganda usemacho kweli.

Waganda wapo smart sana na hawana majigambo na wanajua sana,ila Wakenya Daah wabinafsi halafu kama husipokuwa makini wanaweza kukuangushia jumba bovu ambalo uhusiki nalo kabisa,wengi wapo shallow ila lugha inawabeba ila technical weupe.
 
Wa Kenya wazee wa kujipangusia makaratasi wakienda haja...

Kenya wanakula mboga za majani kuanzia asubuhi mpaka usiku... njaa kali asikudanganye mtu, east africa hakuna mtu anakula ugali kama hawa viumbe... hasa kuna kabila wanaitwa waluya wazee wa mkombero...

Wanawake(middle class) wa kikenya papuchi zinatema(uchafu) ni ni tofauti kabisa na pisi za Tz...

Ni wapenda sifa na huwa wanawaona wa Tanzania wanawazidi elimu(wanadanganyana)

Wanawake wa Kenya hawajui kupika... ni zero... wanapika chapati mpaka kwenye sherehe, chapati zenyewe hawajui kupika...

Nyumba zao wamebana vyumba, yaani vyumba vidooogo kwa sababu ya uhaba wa ardhi, kumiliki ardhi kenya we ni tajiri... tofauti na kwetu kijana ana miaka 25 au 30 ana maekari ya ardhi...

Wa Kenya huwa wanajiona halafu huwa hawajui tu wa Tanzania tupo vipi, mfano wanajua wana jeshi bora, maisha bora, elimu bora na kila kitu hata miundo mbinu kuliko nchi zote EA... ambacho hawajui ni kwamba ile kuongea tu Swahili ambapo chimbuko ni hapa Tanzania, tayari tumewapiga a biiigg middle finger, yaani sisi ni kama tumewatawala kiutamaduni, angalia hata kimuziki wanatuiga sisi, sisi hatuwa copy wao ... huwezi sikia hata siku moja UAE wanajitapa mbele ya USA au UK kwamba wanawazidi magorofa cause mbabe ni mbabe tu licha ya mapungufu yetu but Tanzania ina historia pana sana, vita harakati za ukombozi n.k....

Kenya zaidi ya riadha na kiingereza chenye lafudhi ya kijaluo hawana jipya... nikosoeni kama nasema uongo ndugu zangu....

Kuna mzee mmoja nilikutana nae barbershop Kenya, katika story nikamsikia anasema eti "in east Africa hakuna watu wanaweza vita ya face to face kama wa Kenya", nikamtolea uvivu nikamwambia "mzee Kenya hata historia ya kuwa vitani hamna, hakuna experience yeyote Kenya mnayo ya kuingia vitani" yule mzee akakausha...

Hizi energy drink za bakhresa Kenya hakuna kiwanda wameweza kubuni, wameiga sana mpaka chupa lakini kwenye taste wana fail na wanakiri viwanda vya Tanzania bidhaa zao ni the best, trust me i have been there na siongelei chuki... hata soda wanasema za Tz zina taste vizuri....

Kenya ujanja ujanja mwingi..., imefikia hatua wanasema kiswahili chimbuko ni kwao(ihiiiiiiiiiiiiii (in JPM voice))....
Du umewapaka bila huruma hata kidogo. Kumbe wewe unawajua ndani na nje kuliko sie wengine du!
 
Hata sijui mm mizania yangu niiweke wapi ...maana kuna mTz mwenzangu mmoja alitoa ushuhuda alivyo okolewa na li mama la kikenya wakat yupo Mozambique ..li mama la kikenya lili mbaini jamaa ni MTz aliposikia lafudhi yake tu ya english ..basi li mama la kikenya likampa hifadhi yule msela Mtz na jamaa akaenda mbali zaidi akasema pia usiku kadhaa alitunukiwa uroda na ilo limama la kikenya.
 
Watu wote hawawezi kuwa sawa. Hawawezi kuwa wazuri au wabaya, wachafu au wasafi, woga au mashujaa, wakarimu au wakatili kinachotutofautisha ni uzoefu wa mtu binafsi na asilimia ya malalamiko ya watoa comments.
 
Labda wamekuacha wewe. Usiniongelee tafadhali.
nimeish kenya miaka 5 na naish bongo kwa sasa. kuna tofauti kubwa sana ya mbongo na mkenya kuanzia kuongea kuwaza na kutenda achilia mbali kiuchumi. na hz ni sababu za kihistoria. wenzetu wamewekeza sana kwenye elimu mzee. mkenya nenda popote dunian kaajiriwa. sasa hz sabab tunazotoa cjui wana roho mbaya cjui wachoyo wanajiweka karibu na uongoz. hvyo vyote ndio tunapopigiwa hapo. hebu chunguza wahndi nao kama hutakuta tabia kama hzo. ukiwa Nairobi huwez kulinganisha na Dar. labda mombasa. kenya watu dizain ya bahressa hawahesabiki. nitakutolea mifano miwili midogo.
mwaka 2009 shirika la Qatar airways lilikuwa linatafuta kaben crew kwenye ndege yao kutoka Tz lilipata mmoja tu tena mwarabu. ikabidi iwaongeze wakenya.
leo hii mwekezaji mchina anaona mkenya ni mtu aliyetayar kikaz kuliko mtz. nenda kwenye soko la hisa la nairobi na dar uone tofaut yetu. sisi kila kitu kinaongozwa na siasa mzee. wenzetu kila kitu kinaamuliwa na soko. kwanza wakenya walioko nje hela inayotumwa nyumban na cc ni kifo na usingiz. cc ni sleeping giant na cjui tutaamka lin.
 
Wanafanana na ndugu zetu fulani hapa Tanzania. Na wao mtu Kama ni mkikuyu akafanya Jambo kubwa yaani wakikuyu watajisifu kuwa wao Wana akili Sana kuliko wakenya wengine i.e wakalenjin,kamba, taita,jaluo, kisii etc.
Yaani mie siku nilipodharau kuwa English sio chochote ni pale fomu wani tumefika,Kuna waliotoka English medium na mie Swahili medium, yaani iyo2 English waliyozaliwa nayo nikawa nawapelekesha mbaya Sana.
Kuna jamaa akasomea Uganda alidisco second year na English alikuwa anajua.
Watanzania tuko poa sema we're undervalued ourselves
Hata jirani zao wachagga ni kama wakenya tu.
 
Nimefanya kazi sehemu mbili na Wakenya pamoja na Waganda usemacho kweli.

Waganda wapo smart sana na hawana majigambo na wanajua sana,ila Wakenya Daah wabinafsi halafu kama husipokuwa makini wanaweza kukuangushia jumba bovu ambalo uhusiki nalo kabisa,wengi wapo shallow ila lugha inawabeba ila technical weupe.
Kama wachagga tu
 
nimeish kenya miaka 5 na naish bongo kwa sasa. kuna tofauti kubwa sana ya mbongo na mkenya kuanzia kuongea kuwaza na kutenda achilia mbali kiuchumi. na hz ni sababu za kihistoria. wenzetu wamewekeza sana kwenye elimu mzee. mkenya nenda popote dunian kaajiriwa. sasa hz sabab tunazotoa cjui wana roho mbaya cjui wachoyo wanajiweka karibu na uongoz. hvyo vyote ndio tunapopigiwa hapo. hebu chunguza wahndi nao kama hutakuta tabia kama hzo. ukiwa Nairobi huwez kulinganisha na Dar. labda mombasa. kenya watu dizain ya bahressa hawahesabiki. nitakutolea mifano miwili midogo.
mwaka 2009 shirika la Qatar airways lilikuwa linatafuta kaben crew kwenye ndege yao kutoka Tz lilipata mmoja tu tena mwarabu. ikabidi iwaongeze wakenya.
leo hii mwekezaji mchina anaona mkenya ni mtu aliyetayar kikaz kuliko mtz. nenda kwenye soko la hisa la nairobi na dar uone tofaut yetu. sisi kila kitu kinaongozwa na siasa mzee. wenzetu kila kitu kinaamuliwa na soko. kwanza wakenya walioko nje hela inayotumwa nyumban na cc ni kifo na usingiz. cc ni sleeping giant na cjui tutaamka lin.
Mhhh
 
Back
Top Bottom