We jamaa acha ubishi ambao hauna manufaa, China na USA wapi maisha ni ghali? China kazidiwa uchumi lakini ana purchasing power kubwa, makampuni makubwa karibu yote ya kimarekani yamewekeza China kiuzalishaji, hujui hata purchasing power nguvu yake, before WW2 , USA kilichompa kiburi na uwezo wa kukabiliana na ile vita ni purchasing power mzee!!! ambayo sasa hivi hawana ndio maana viwanda vyao vikubwa apple,dell,microsoft, makampuni ya fashion, cosmetics vipo China,,,, yaani nikileta hapa list ni ndefu sanaa.. purchasing power inapelekea cheap and skilled labour, injinia wa kichina mwenye uwezo sawa na injinia wa ulaya wana malipo tofauti tokana na hio fact...
China maisha yasingekuwa nafuu, kampuni za kimarekani zisingekuwepo... kwa kubisha na hili nimekuona hujui kitu... we ni bogus...
Sasa endelea kujidanganya na story za kwenye gahawa mkuu.... lakini mi nakupa facts, Kenya maisha magumu... wamebaki kuringishia magorofa yaliyopo Nairobi kwa ambao hawajielewi, eti hisa, hisa na chakula hamna si ujinga wa karne... hata UAE na miji yake ya kubumba hana uwezo wa kujitapa mbele ya mji kama London, London imekua naturally mzee sio kama Dubai ambayo ni artificially kama ni mtu unasema kafanyiwa plastic surgery...
Mkuu Kenya ujanja ujanja mwingi wanajua kuwakamata vichwa watu kama nyie ila sisi wajanja tunawasoma tu...
Suala la kuoa dada zetu, ni ugumu wao wa maisha na wanawake wao ambao ni wachafu....