cjasema wanachakula kama cc bab. nachokuambia mkenya katuacha mbali. nenda popote utakuta mkenya kaajiriwa na hyo ni sabab za kihistoria. hawa jamaa Muingereza aliwekeza kwao zaid kuliko hapa kwetu. wana muingiliano mkubwa na dunia kupita cc. na wameish kwenye capitalisim cku zote. ngoja nikupe mfano mdogo.
hebu nenda kwenye takwim za soko la AGOA uangalie wakenya w.meuza bidhaa za shs ngap America per year na mtz kwa america ndio utajua. hyo roho mbaya ya polis ndio ubepar huo hata cc tunaelekea huko. kwani zaman tulikuwa na fensi za kuta? na kwataarifa yako kampun zote za kiume wakitaka kuwekeza east africa wanaanzia Nairobi huku kunakuwa branch.
We mzee unaongea nini? kwa hio unaona chanzo cha wao kuwa hapo kisa ni muingereza kuwekeza kwao kuliko sisi, huyo muingereza yupo wapi sasa hivi? muingereza anamzidi nini mchina? kama unawaona british ni mastermind mbona wamepigwa big MF na nchi walizozitawala ikiwemo USA?
unachekesha mkuu...
Masuala ya hisa si kigezo rasilimali hawana acha wakomae na business, Kenya maisha yapo juu, kuanzia upangaji wa nyumba, kumiliki ardhi hata chakula ni tofauti na hapa kwetu, nikupe mfano....
China huduma za kijamii ni bei nafuu, hata pombe China ni bei chee sana, usizungumzie electronics huko ndio bei za kutupa, usizungumzie masuala ya afya ni sawa na bure, elimu n.k
USA huduma za kijamii ni ghali,
Kuna kitu kinaitwa Purchasing Power ndicho kinaifanya China iogopeke duniani, mchina anadunda na $100 siku nzima kwa mahitaji mengi...
Hio $100 nenda nayo USA uone kama jioni inafika...
Familia ya kipato cha kati Kenya inabidi itumie nguvu nyingi kuishi maisha sawa na familia ya kipato cha kati Tanzania...
Siku tukiamua kufanya vipaumbele na kampeni za uwekezaji kwa makampuni ya kigeni hapo ndipo tunawazika kabisa...
Sio ujanja eti kusifiwa mnaajiriwa sana, mnafanya sana biashara, halafu maisha ni ghali.... ni ujinga na ushamba